chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
Kauli yako haina ukweli maana majirani disease surveillance yao ni poor. Kenya wako juu sana katika medical research/disease surveillance etc................KEMRI ukilinganisha na nchi zingine kwenye jumuiya! nchi kama Tanzania haipimi sasa utailinganishaje na Kenye ambayo inapima kwa kiwango kikubwaKenya ni nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya corona katika ukanda wa afrika mashariki,ikiripoti maambukizi mengi zaidi na vifo,tangu ugonjwa wa corona uingie nchi za afrika mashariki.
Nakushauli upande daradara ufuate balabala hadi huko Nailobi kwenye chanjo ya kolona.Haeli ningezariwakenya
Naona aluke juu, akitua nailobi wamtandike chanjo ya kolona 🤣🤣🤣Nakushauli upande daradara ufuate balabala hadi huko Nailobi kwenye chanjo ya kolona.
kwa mujibu wa data zipi kwa kila nchi?Kenya ni nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya corona katika ukanda wa afrika mashariki,ikiripoti maambukizi mengi zaidi na vifo,tangu ugonjwa wa corona uingie nchi za afrika mashariki.
Huyo hawezi kuluka hadi Nailobi, ni lahisi sana akisafili kwa gali au tleniNaona aluke juu, akitua nailobi wamtandike chanjo ya kolona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwezi kubali chanjo hiyo
ila naona dawa za minyoo mnazikubali, tena za kutokea kwa hao hao mabeberu, kweli nyie ni kituko cha dunia... Hili la ugawaji wa dawa za minyoo Shule za Msingi limekaaje?
Kauli yako haina ukweli maana majirani disease surveillance yao ni poor. Kenya wako juu sana katika medical research/disease surveillance etc................KEMRI ukilinganisha na nchi zingine kwenye jumuiya! nchi kama Tanzania haipimi sasa utailinganishaje na Kenye ambayo inapima kwa kiwango kikubwa
Haeli ningezariwakenya
Umesoma epidemiology ya Covid 19? at least for the available epidemiological information as this is a novel diseaseCorona sio kama ukimwi.
Kungekuwa na wagonjwa wengi wangeonekana tu hata bila ya kupima.
Upo sahihi kiongozi.. kenya wapo wazi atuwezi jinasibu wenzetu wanakufa ikiwa tarifa zetu tunaficha.Kauli yako haina ukweli maana majirani disease surveillance yao ni poor. Kenya wako juu sana katika medical research/disease surveillance etc................KEMRI ukilinganisha na nchi zingine kwenye jumuiya! nchi kama Tanzania haipimi sasa utailinganishaje na Kenye ambayo inapima kwa kiwango kikubwa
Acha twende tu hakuna namna maana hali sio hali.. mtani kwangu ndani ya siku 15 kumetokea vifo sita mpaka watu wamenza kuhama kwa hofu.. japo tarifa zikifika tunambiwa ni kisukari. maswali yanakua mengi kisukari iko ndio kimepamba moto kiasi hiko!?Tutaenda Kupiga chanjo Kenya maana NZIRANKENDE katutoa kafara.