Wakenya kesho rasmi kuanza kupigwa chanjo ya Corona

Tanzania isubiri kwanza kuchukua chanzo hizi za Voda fasta. Mpaka pale imejiridhisha na matokeo yake kutoka kwa waliopata chanjo hiyo. Kupisha miezi sita tangu pale ilipoanza kutumika Afrika itakuwa ni jambo lenye hekima sana.
 
..kuna nchi moja waliwapa watoto wa shule dawa za minyoo, walipokuwa wakubwa wakaushtuka viungo vya uzazi vimesinyaa na kukauka kabisa. sasa hivi ni watu wazima lakini hawana uwezo wa kuzaa.
Acha porojo mkuu, kijana huwezi kuja hapa na simulizi za kitoto hizo.
 
Clearly Ignorance and Superstitions bear close relations to each other.When will u stop bieng superstitious and start using ua brains.Kweli Mataga ni mataga tu
 
Clearly Ignorance and Superstitions bear close relations to each other.When will u stop bieng superstitious and start using ua brains.Kweli Mataga ni mataga tu
Kusema kweli watanzania wanahitaji kuelimishwa upya na sio tu kuhusu virusi vya COVID-19 au chanjo. Yaani "refresher course' moja kali ya elimu kuhusu masuala yote chini ya jua. Sio kwa baadhi ya hizi comment za kipumba ambazo wanatupia kwenye uzi huu. Yaani hadi ukizisoma unabaki ikijiuliza kama akili zenyewe ni za sokwe au labda kima. Elimu, elimu, elimuuu!
 
Hawa sijui nani kawaroga haki,,,elimu bado shida (wengi vichaa) These morons Seriously need physcriatic attention
 
ila naona dawa za minyoo mnazikubali, tena za kutokea kwa hao hao mabeberu, kweli nyie ni kituko cha dunia... Hili la ugawaji wa dawa za minyoo Shule za Msingi limekaaje?
Wacha hata za minyoo, za tetanus, tetemaji, polio, TB, whooping cough na kadhalika zimekuwa zikipeanwa tangu siku ya kwanza kuzaliwa ndio maana sahi hushikwi na magonjwa hatari ovyo tu, sembuse hii ya corona eti ukatae na wayaona madhara yake?
✌️
 
Kipaumbele kwa watumishi wa umma ina-make sense, lakini watumishi wengine wa umma pia sioni mantiki. Sasa hiyo milioni moja ni awamu ya kwanza au sehemu ya majaribio? Wakenya wawapime afya ambao watapewa chanjo kabla na baada kwa kipindi kirefu ili kuona madhara yake, inagwaje yanaweza tokea baada ya muda mrefu kama yapo.
Wafanye hivi ili waafrika tusionekane mazezeta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…