Wakenya kununua mazao yakiwa bado shambani na kupeleka Kenya sababu ya nafaka kupanda bei sokoni Tanzania

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Siku za hivi karibuni umeibuka mtindo kwa Wafanyabiashara wa kikenya kuingia vijijini ndani huko kwa wakulima na kununua na mazao yakiwa bado kuvunwa.

Wanachofanya ni hivi,mfanyabiasha wa kikenya huingia makubaliano na mkulima kulingana na ekari Alizo nazo mkulima ilhali mazao yakiwa bado shambani.

Mkenya hutafuta vibarua wa kitanzania na kuvuna mazao hayo na kupeleka nchini Kenya.

Wakenya hao huchukua mazao hayo katika mkoa wa Manyara, Arusha, Kilimanjaro nk.

Nafaka kama vile mahindi. Maharage, vitunguu, karoti, chorizo,, viazi mviringo nk. ndo husafirishwa zaidi kwenda nchini Kenya hali inayopeleka sokoni kutoshikikaa
 
Wa kenya ni hateri ukiwachekea unajikuta hujabakiza kitu nyumbani.
 
Umeeahi kusoma reports za CAG? Umewahi kusoma Reports za haki za binaadam Tanzania? Umeeahi kusoma sheria zinaxotungwa na bunge? Umewahi kushuhudia Tume ya Taifa ya uchaguzi ikiwa inasimamia zoezi la uchaguzi? Umewahi kushuhudia mikataba ambayo mchi inaingia kimataifa? Bado msimamo wako kuwa Wakenya ni hatari upo palepale?
 
Wakati wafanyabiashara wa Kenya wakifanya ubunifu huo, vipi wenzao wa kitanzania?
 
Siku za hivi karibuni umeibuka mtindo kwa Wafanyabiashara wa kikenya kuingia vijijini ndani huko kwa wakulima na kununua na mazao yakiwa bado kuvunwa.

Wanachofanya ni hivi,mfanyabiasha wa kikenya huingia makubaliano na mkulima kulingana na ekari Alizo nazo mkulima ilhali mazao yakiwa bado shambani.

Mkenya hutafuta vibarua wa kitanzania na kuvuna mazao hayo na kupeleka nchini Kenya.

Wakenya hao huchukua mazao hayo katika mkoa wa Manyara, Arusha, Kilimanjaro nk.

Nafaka kama vile mahindi. Maharage, vitunguu, karoti, chorizo,, viazi mviringo nk. ndo husafirishwa zaidi kwenda nchini Kenya hali inayopeleka sokoni kutoshikikaa
nilikutana na mganda ,mkenya na mzungu wakinunua karanga sikonge tabora na inyonga katavi
 
Siku za hivi karibuni umeibuka mtindo kwa Wafanyabiashara wa kikenya kuingia vijijini ndani huko kwa wakulima na kununua na mazao yakiwa bado kuvunwa.

Wanachofanya ni hivi,mfanyabiasha wa kikenya huingia makubaliano na mkulima kulingana na ekari Alizo nazo mkulima ilhali mazao yakiwa bado shambani.

Mkenya hutafuta vibarua wa kitanzania na kuvuna mazao hayo na kupeleka nchini Kenya.

Wakenya hao huchukua mazao hayo katika mkoa wa Manyara, Arusha, Kilimanjaro nk.

Nafaka kama vile mahindi. Maharage, vitunguu, karoti, chorizo,, viazi mviringo nk. ndo husafirishwa zaidi kwenda nchini Kenya hali inayopeleka sokoni kutoshikikaa
Na wananunua kwa local currency na serikali imelala tu
 
Back
Top Bottom