Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Siku za hivi karibuni umeibuka mtindo kwa Wafanyabiashara wa kikenya kuingia vijijini ndani huko kwa wakulima na kununua na mazao yakiwa bado kuvunwa.
Wanachofanya ni hivi,mfanyabiasha wa kikenya huingia makubaliano na mkulima kulingana na ekari Alizo nazo mkulima ilhali mazao yakiwa bado shambani.
Mkenya hutafuta vibarua wa kitanzania na kuvuna mazao hayo na kupeleka nchini Kenya.
Wakenya hao huchukua mazao hayo katika mkoa wa Manyara, Arusha, Kilimanjaro nk.
Nafaka kama vile mahindi. Maharage, vitunguu, karoti, chorizo,, viazi mviringo nk. ndo husafirishwa zaidi kwenda nchini Kenya hali inayopeleka sokoni kutoshikikaa