Unaongea mambo tulifanya 1979. Si uongee ya hivi majuzi mulivyowaibia Wapinzani Kura?Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,
Yani rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?
Je mmesikia hata marumbano ya maneno?
Tukiwaambia sisi ndio baba zenu hapa EAC muwe mnaelewa. Tunawasubiri 2022.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaongelea kipindi cha chama kimoja?Kwani tukio kama hilo lilifanyika lini nchini Kenya? Nadhani ni mwaka wa 1978 Mzee Jomo Kenyatta alipoiaga dunia na urais ukakabidhiwa Daniel T. Arap Moi. Kwani mlisoma kwenye kumbukumbu zipi hizo kwenye historia kwamba kulikuwa na vurugu au umwagikaji wa damu? Tena enzi hizo ndio marais walikuwa miungu watu wa kweli sio wa hawa wababe feki wa enzi hizi.
mkuu,, yaani huwezi subiri tumalize kuomboleza kwanza?Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,
Yani rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?
Je mmesikia hata marumbano ya maneno?
Tukiwaambia sisi ndio baba zenu hapa EAC muwe mnaelewa. Tunawasubiri 2022.
Kwani tukio kama hilo lilifanyika lini nchini Kenya? Nadhani ni mwaka wa 1978, Mzee Jomo Kenyatta alipoaga dunia na urais ukakabidhiwa Daniel T. Arap Moi. Mlisoma kwenye kumbukumbu zipi hizo za historia kwamba kulikuwa na vurugu au umwagikaji wa damu?
Tena enzi hizo ndio marais walikuwa miungu watu, sio hawa wababe feki wa enzi hizi. Mnasikitisha sana mataga, itawachukua muda mrefu sana kurudiwa na akili timamu.
Hauna heshima kwa mzee wa Chato?., Si ungejipa ata break for a week, Kenya isikutese, omboleza pole pole.[emoji23][emoji23][emoji23]Acha hasira ndugu
Idiot reasoning.Wekenya wengi wamekulia vituo vya kulelea watoto yatima so hawaijuwi nguvu ya mama.Waoijuwa nguvu ya mama Wapo kibera.
Usiyoyajua.Ungejua genge lenu la vibaka wa CCM walichotaka kupindua ungetuliza kiuno.Pole sana na shukuru mabaka😂😂😂😂Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,
Yani rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?
Je mmesikia hata marumbano ya maneno?
Tukiwaambia sisi ndio baba zenu hapa EAC muwe mnaelewa. Tunawasubiri 2022.
It will be a total chaospata picha Uhuru anafariki leo hii? Yaani ni vita kati ya Tangatanga na Kieleweke!
Tony254
Toa vizungu vyako uchwara hapa na laana za ukabila.Idiot reasoning.
Mabaka wapo nchi gani?Usiyoyajua.Ungejua genge lenu la vibaka wa CCM walichotaka kupindua ungetuliza kiuno.Pole sana na shukuru mabaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naam, ndio Tanzania ya enzi hizi hiyo. Bunge la chama kimoja kwa zaidi ya asilimia 90. Katiba ambayo mnaitumia ndio ile ile mlioandikiwa na mabeberu. Kilichobadilika tu ni kubebewa akili kwa sana, eti hadi mnapiga nyungu kwenye hospitali kisa mzee amesema Corona ni kaugonjwa kadogo. [emoji57][emoji23][emoji23][emoji23]Unaongelea kipindi cha chama kimoja?
Wakati huo kwanza watu walikuwa bado na mentality za kikoloni wajinga wakiwa wengi! ongelea mambo ya kuanzia miaka ya 1995 na kuendelea