Wakenya, mmeona sasa jinsi Demokrasia inapaswa iwe?

Yani ulitaka kwenye huo uzi uone kila mtu anasifia Magufuli? Democrasia ni pamoja na kukosoa au kutokukubaliana na mtu

Kwa hayo yote waliyoyataja hapo ni wazi mnaishi kama misukule, halafu mlikua mumeanza jitihada za kubadilisha katiba atawale hadi siku ataacha mwenyewe....hehehe
 
Wewe ukifikiri kuna kiongozi anakubalika na kutenda mema tu kwa 100%?

Amekuwa Mungu?

Nenda hata kwa wakubwa zenu USA uone kama kuna kiongozi anakubalika na kila mtu.
 
" baki na mavi yako nyumbani"

Kauli ya mwisho unamuanbia mtu halafu mwezi ujao unafariki.
 
Wewe ukifikiri kuna kiongozi anakubalika na kutenda mema tu kwa 100%?

Amekuwa Mungu?

Nenda hata kwa wakubwa zenu USA uone kama kuna kiongozi anakubalika na kila mtu.

Hakuna kiongozi anayekubalika 100% labda wa kulazimisha watu wake abadilishe katiba atawale milele.....yaani napitia nyuzi kwenye jukwaa lenu la siasa, kwa kweli ni kama mumepumua, watu mlikua mumekandamizwa balaa...hehehe
 
Ndugu! Hata huko Kenya kwenye social media raia wanamuona Kenyata ni mlevi tu.
 
Mtapata tabu na hizi fikra zenu hovyo, mjakombolewa kimawazo ndio maana licha ya kazi yote ya jembe mnabaki kwa ufukara. Pole mtapona tu, hakuna laana yenye haiwezi kuvunjwa.
wakenya zaidi ya milion 1.5 kufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwa njaaa sio vita,au maradhi njaa budaa.
 
Hatunaga mda wa kufuatilia mambo ya Kunyaland we are contented.
Kuna kitu huelewi...nchi zilizo stawi huwa zinafwatilia sana matukio ya nchi zilizo nyuma kimaendeleo.
Kenya hapa East Africa ni nchi iliyo stawi kwa kila njia na kenya ni big brother hapa East Africa.. sisi ndio, wasomi,matajiri, uchumi mkubwa....mahospitali na madaktari tajika....kwa hivyo kama tu vile marekani huingilia maisha ya nchi zingine hafifu...vivyo hivyo ndio Kenya huingilia maswala ya nchi hafifu kama TZ hapa Africa mashariki...
Nyinyi TZ lazima Mambo mengi mfunzwe...kwa maana mnajidai mnajua lakini wapi...ona sasa mlipuuza Corona dunia nzima ikiwaonya...ona yanayo watendekea.....lazima mwelekezwe maana hamjui chochote na lazima sisi kama kenya tuwafunze enyi ndugu zetu wadogo.....We are the East and Central Africa super power
 
Nonsense matajiri wa wapi,Tanzania ni nchi yenye hospitali nzuri,tunatoa wasomi mpaka Marais wa nchi jirani wengine wamesomea Tanzania,nchi yenye matajiri wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki,nchi yenye masikini wachache afrika mashariki.nchi ambayo tukikoroma nchi zote za afrika zinanyamaza.Tanzania ni nchi yenye nguvu kuliko nchi yoyote afrika mashariki na Kati tukitaka chetu lazima kiwe.
 
una kaujinga kamehamia kwenye makalio yako.
 
Nonsense matajiri wa wapi,Tanzania ni nchi yenye hospitali nzuri,tunatoa wasomi mpaka Marais wa nchi jirani wengine wamesomea Tanzania,nchi yenye matajiri wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki,nchi yenye masikini wachache afrika mashariki.nchi ambayo tukikoroma nchi zote za afrika zinanyamaza.Tanzania ni nchi yenye nguvu kuliko nchi yoyote afrika mashariki na Kati tukitaka chetu lazima kiwe.
unamjibu kichaa huyo achana naye.
 
Aaaah hata hospitali yenyewe ilibidi mje Kenya.. kumbe hamna cha kujigamba...porojo tu na kelele.. nchi iko nyuma
 
Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,

Yani Rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je, mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?

Je, mmesikia hata malumbano ya maneno?

Tukiwaambia sisi ndio baba zenu hapa EAC muwe mnaelewa. Tunawasubiri 2022.
Hapa ni Katiba. Demokrasia ina onekana ktk chaguzi Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu! Au hujui maana ya Demokrasia?
 
Ona ulivyo fukara kimawazo [emoji23][emoji23][emoji23], Nani kaongelea kujua kiingereza hapa?.., unajibu fikra zako tu, yaani ujinga ulio jaza akilini mwako, unacheza na mawazo yako tu humu. Unadhihirisha ulivyo mpuzi tu[emoji23][emoji23] Una matatizo kweli. Wacha nikucheke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,
Acha kujichekesha kimalaya malaya jibu hoja we kumbi kumbi.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu! Hata huko Kenya kwenye social media raia wanamuona Kenyata ni mlevi tu.

Huku rais anasemwa kila siku tena popote pale, sio kama kwenu ilikua inabidi watu wajifiche kwenye mitandao ya kijamii, hata kuhoji afya ya rais mpaka anakufa lakini kila mtu amebanwa mdomo.....mwambie Uhuru athubutu huo ung'ang'anizi

Nasubiri nione kama huyo madam rais ataendeleza ujuha wa eti corona ni mbinu za mabeberu za kuhujumu uchumi wa Tanzania, au yeye atafuata sera zenye miongozo ya kitaalam.
 
lissu pia anatoka ccm.unamfatilia hata hujui anachonga akiwa tawi gani.

Mlimuondosha kwa risasi 38, na hata baada ya kuja kujaribu kuhusika kwenye hilo igizo mliloita uchaguzi, ilimbidi alindwe na mabalozi wa mabwana zenu mpaka akaondoka.
 
Aaaah hata hospitali yenyewe ilibidi mje Kenya.. kumbe hamna cha kujigamba...porojo tu na kelele.. nchi iko nyuma
Nani aliyekuja Kenya?magufuli hawezi kupelekwa kwenye hospitali za ovyo
 
Niite kichwa kakini wakati huu lazima tuwaeleze ukweli...Burundi walisema hakuna corona ..hayaaa tz wakasema hakuna Corona. hayaaa.. Lazima nyinyi wa Tanzania tuwafunze....sisi twa wapenda kama ndugu zetu wadogo....Na jambo tunalo wasihi sasa ni muanze na kuvaa barakoa na Ku keep distance na kusanitize...Ili muepuke aibu. Yaani nyie mbona akili .......
unamjibu kichaa huyo achana naye.
 
Back
Top Bottom