Wakenya, mmeona sasa jinsi Demokrasia inapaswa iwe?

Tanzania ni nchi inayoongozwa na viongozi hawajakamilika kiuongozi......Mara oh yupo mzima anachapa kazi..mara ooh mara ohh halafu sasa ....Na raia imekaa tuu ndeeee
 
Hujielewi hakuna nchi yenye hazina kubwa ya viongozi kama Tanzania Ile ni Hali ya kusawazisha mambo tu.nchi yenye viongozi ovyo ni Kenya Kwa sababu kila mtu ni fisadi.
 
Ndugu! Hata huko Kenya kwenye social media raia wanamuona Kenyata ni mlevi tu.
Kenyatta wetu wewe mwite mlevi lakini anayo hekima ya kujua Corona yauwa...nyinyi hadi mjionee na mmoja wenu ndio muamke....Kenyatta wetu anatujengea mabarabara za kimataifa.....huyu Kenyatta wetu twampenda.....Halafu hutawahi sikia mkenya naenda kutibiwa TZ....
 
Hujielewi hakuna nchi yenye hazina kubwa ya viongozi kama Tanzania Ile ni Hali ya kusawazisha mambo tu.nchi yenye viongozi ovyo ni Kenya Kwa sababu kila mtu ni fisadi.
Ufisadi upi wakati uchumi wetu uko juu ya tz ug na Rwanda combined
 
Uchumi gani watu hawana kazi,wanakufanya njaa ,maisha ya wakenya magumu umasikini wa kiwango cha juu.basi ni uchumi wa watu wachache.huoni Tanzania ni nchi yenye matajiri wengi na masikini wachache afrika mashariki alafu hamna mfumuko wa bei?
 
takwimu hizi ulizitoa wapi..kama sio guess work zile zenyu za kawaida...zile zile mlizosema eti hakuna Corona...hadi iwatafune ndio muamke....
 
Kupunguza taharuki Kwa Watanzania.
Eti taharuki.. Nani asiye ugua?? Ni ni aibu ya kuwa waluopinga kuwa Corona haipo tz .wameugua wao...hii ni hali ya aibu wala hamna cha kupunguza taharuki....
 
Tanzania ni nchi inayoongozwa na viongozi hawajakamilika kiuongozi......Mara oh yupo mzima anachapa kazi..mara ooh mara ohh halafu sasa ....Na raia imekaa tuu ndeeee
Yaani TZ inavyo tawaliwa...wacha tu...Naona hata mimi naweza tawala hiyo nchi......
 
takwimu hizi ulizitoa wapi..kama sio guess work zile zenyu za kawaida...zile zile mlizosema eti hakuna Corona...hadi iwatafune ndio muamke....
Takwimu zipo Tanzania tunamatajiri wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki kiwango wa umasikini upo chini Sana alafu watu hawafi Kwa njaa hawapiki mawe,hawalali kwenye mabanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani TZ inavyo tawaliwa...wacha tu...Naona hata mimi naweza tawala hiyo nchi......
Serikali imeduwaa Wana nchi wameduwaa.... eti yupo salama anachapa kazi...bana ehh onesheni hekima ..japo kidogo... halafu mwisho wa yote wanakuja kwenu tena kuwaambia eti??????
 
Eti taharuki.. Nani asiye ugua?? Ni ni aibu ya kuwa waluopinga kuwa Corona haipo tz .wameugua wao...hii ni hali ya aibu wala hamna cha kupunguza taharuki....
Unauhakika na unachokizungumza?Raisi wetu alikuwa na matatizo yake siku nyingi.
 
Takwimu zipo Tanzania tunamatajiri wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki kiwango wa umasikini upo chini Sana alafu watu hawafi Kwa njaa hawapiki mawe,hawalali kwenye mabanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ka ambaye hatuijui tz....uswahilini.....
 
Kenya mtu ana degeee anaishi slum mathare au kibera nyumba iliyozungushiwa magunia au mabati matupu juu pembeni Tanzania nyumba kama hizo wanaishi vichaa tu hakuna mwenyevakili timamuhata awe darasa la saba anaishi nyumba za aina hiyo
 
Yaani hawa MATANGA ni ovyo kupita. Ati Rais kafa madaraka ikamwendea Vice President ni kitu cha kushangaza na kushangilia?😂😂😂 Karne ya ishirini na moja? Ati Rais anachapa kazi kumbe tayari ashafa. Sasa ikiwa wanajidai hivi kwa hili, sasa wkifika tulikokuwa 2002 watasemaje? Pale amabapo CCM itakubali kushindwa na kuwapa upinzani mamalaka? Watafanyaje? Si watembea uchi?
 
Back
Top Bottom