Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima aseme corona inaua maana ndio sehemu anayopigia mamikopo inayowakandamiza hadi mtauzwa sasaKenyatta wetu wewe mwite mlevi lakini anayo hekima ya kujua Corona yauwa...nyinyi hadi mjionee na mmoja wenu ndio muamke....Kenyatta wetu anatujengea mabarabara za kimataifa.....huyu Kenyatta wetu twampenda.....Halafu hutawahi sikia mkenya naenda kutibiwa TZ....
barakoa hatujaanza kuvaa leo.wala nyinyi hamuwezi kutufundisha namna ya kujilinda na corona wakati bado inawafirigisa.Niite kichwa kakini wakati huu lazima tuwaeleze ukweli...Burundi walisema hakuna corona ..hayaaa tz wakasema hakuna Corona. hayaaa.. Lazima nyinyi wa Tanzania tuwafunze....sisi twa wapenda kama ndugu zetu wadogo....Na jambo tunalo wasihi sasa ni muanze na kuvaa barakoa na Ku keep distance na kusanitize...Ili muepuke aibu. Yaani nyie mbona akili .......
Ingekuwa Kenya sasa hivi somalia ingeshajitwalia mombasaYaani hawa MATANGA ni ovyo kupita. Ati Rais kafa madaraka ikamwendea Vice President ni kitu cha kushangaza na kushangilia?[emoji23][emoji23][emoji23] Karne ya ishirini na moja? Ati Rais anachapa kazi kumbe tayari ashafa. Sasa ikiwa wanajidai hivi kwa hili, sasa wkifika tulikokuwa 2002 watasemaje? Pale amabapo CCM itakubali kushindwa na kuwapa upinzani mamalaka? Watafanyaje? Si watembea uchi?
Kwakwel tungekua wabaguz tungelianzisha.Tena tngekuana sbabu nzuuuri kwamba "haiwezekan tanzania nzima bara na visiwan iongozwe na wanzanzibar"(wao wasingekubali).Ahaaa,ngoja waje hapa,Wajaluo,Wakikuyu,Wakamba n,k na siasa zao za ukabila.
Umepata idhini ya Mwigulu Nchemba Kutoa hoja hiyo? Kweli akili zako zimebebwa kubebwa. Ukumbuke kuomboleza. Serikali ishatoa nyibo za kuomboleza kule PyongyangIngekuwa Kenya sasa hivi somalia ingeshajitwalia mombasa
Umepata idhini ya Mwigulu Nchemba Kutoa hoja hiyo? Kweli akili zako zimebebwa kubebwa. Ukumbuke kuomboleza. Serikali ishatoa nyibo za kuomboleza kule Pyongyang
U are too shallow minded.Unfortunately there's not much you can do help someone who is very bitter.Only they can help themselvesTena umenikumbusha. Yes Sisi ni waswahili & we are proud of it. Sasa shidi ni nini? Yaaani You have the BIGGEST SLUMS IN AFRICA hapo kibera mpaka wakina madona wanakuja kuwapa misaada na kuwazindulia matundu ya vyoo na bado mnakuja kutupigia kelele hapa. Kheee?
Yaaani mnaringa nini wakati hata lugha ya kwenu wenyewe hamna? Even bushmen Wana their own language. Have your own native language first ndo mje Ukumbini tubishane. Sisi sio saizi yenu yaaani tena mtukome.
Kenyans mnajikuta wazungu sana. Ooooh sijui hospitali barabara nye nye nye muwashukuru sana wazungu na watu kama kina Mzee Kenyatta kima nyie maana bila investment za wazungu hamna tofauti na Sahara Desert. Tanzania tulikaa 16 years kipindi cha Arusha Declaration hakuna cha mmarekani wala nini na hatukufa. We built our own hospitals and schools.
Hatuwezi kuchukua notes kwa watu ambao wanabaguana kisa ukabila na watu wanaoringia foreign investments wakati kule kibera watu wanakufa kwa kipindupindu.
The only nation in Sub-Saharan Africa that can tell us what to do & ambayo tunaweza kuchukua advice ni Nigeria Peke yake.
Naishia hapa maana umeniudhi sana. Nitarudi.
I love Tanzania.
Ain't u supposed to be mourning,,Wakenya hawajawahi kuwa na utulivu kwenye mambo yao, ninachowashangaa wanajikuta wazungu wakati bado wanabaguana kisa ukabila. Wazungu gani Wana ukabila? Huku kwetu hata kumuuliza mtu kabila lake ni kitu cha ajabu.
Verbal diarrhea ni tatizo kubwa sana kwa wakenya. Yaani wazungu wakaungana wakatoa zile investment pale Kenya, Utofauti wa Kenya na Kisarawe utakuwa ni Jokate tu
One cost of depression is that it prolongs ua mental and emotional pain raises stress resulting to becoming obsessed with blaming someone else for your misery which prevents you from experiencing the potential joys of living fully in the present.Pole kwa machungu Braza!!Mkishindwa kuleta hoja zenye nyama ndo mnakuja na hayo mambo ya "shallow minded".
Wewe mwenye akili Pana hata kutype tu unashindwa, yaani "much you can do help" ndio kiingereza gani? Umeshindwa hata kuumba sentensi iliyonyooka? Au ndo mtaala wa Kenya unafundisha hivyo?
Again. We can't take notes from Kenyans. So stop acting like East African Head Prefects.
U are too dumb go argue with ua ancestorsAin't You? ❌
Aren't You? ✔️
Kajifunze grammar kwanza, ndio uje tuongee vizuri sikuelewi. American English zinakuchanganya tu.
Ww n tumbili sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Umeiona democrasia hiyo ndugu?
Hiyo hospitali unayoita ovyo, jamii yako yote hamna hata mmoja aliye na uwezo wa kuhudumiwa kwa hospitali ya hiyo hadhi.Nani aliyekuja Kenya?magufuli hawezi kupelekwa kwenye hospitali za ovyo
Kwa akili yako demcrasia ni kuwa na wabunge wengi wa upinzani?Ww n tumbili sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa democrasia gani inaongozwa na Chama Kimoja bungen mbunge wa upinzan n WA kuhesbau na kidole kama chawa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Reasoning na several ya Tanzanians humu inachosha akili, wako dumb deadly! Utatumia nguvu nyingi kuelimisha mshamba, wachana nao wajitekenye wakicheka, hovyo kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], better ku wapuuza. Wanafiki, roho ngumu ata mkulu hajazikwa wameanza kukurupuka, serikali yao inajua ujinga wao sasa imetoa ilani, hakuna sherehe yeyote for the next 21 days, idiots wangekula bata. Wajinga kweli.Bro ni hasira plus depression inatesa hawa Mataga.Nani atakua anawalipa buku saba [emoji23][emoji23].Hao kwisha
Tuna hospitali nzuri alafu za umma huduma nzuri zingine hamna hata Kenya lakini Watanzania wote wanahudumiwa.Hiyo hospitali unayoita ovyo, jamii yako yote hamna hata mmoja aliye na uwezo wa kuhudumiwa kwa hospitali ya hiyo hadhi.
Nimekuambia hiyo hospitali unayoita ovyo, jamii yako yote hamna hata mmoja aliye na uwezo wa kuhudumiwa kwa hospitali ya hiyo hadhi.Tuna hospitali nzuri alafu za umma huduma nzuri zingine hamna hata Kenya lakini Watanzania wote wanahudumiwa.