Wakenya, mmeona sasa jinsi Demokrasia inapaswa iwe?

[emoji23][emoji23][emoji23]Una hasira sana! Shughulikia ishu za ukabila kwanza hapo kwenu!
 
Kojoa ulale. Wacha kusumbua. Naona kuomboleza kunakufanya ujazwe na povu mdomoni πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ . Matanga kweli mtapata taabu sana
 
Kwanza kuna sehemu nilisoma mojawapo wa sababu kwanini iliwachukua muda mrefu kutangaza kifo ni kwamba kunao walitaka kumnyang'anya mama tonge mdomoni, pitia nyuzi za Watz pale tetesi za kifo zilianza, kulikua na mvutano kimya kimya.
 
Moderator uzushi kama huu huruhusiwa humu ndani?
 
hata wewe ulikua hujazaliwa
Sasa hivi Uhuru na William Ruto hawaongei wana miaka miwili
Uliona wapi Rais na Makamu wake wanawindana kama chui na paka?
 
hata wewe ulikua hujazaliwa
Sasa hivi Uhuru na William Ruto hawaongei wana miaka miwili
Uliona wapi Rais na Makamu wake wanawindana kama chui na paka?
Kenya hatuna makamu wa rais tuna naibu rais. Yaani Deputy President, sio flower girl wa kumsindikiza rais.
 
hata wewe ulikua hujazaliwa
Sasa hivi Uhuru na William Ruto hawaongei wana miaka miwili
Uliona wapi Rais na Makamu wake wanawindana kama chui na paka?
Kama haya hutendeka tanzania san ..ni vile nyinyi hamna uhuru wa wana habari au freedom of specch ..ndio maana tanzania kwa wiki mbili hamkujua aliko mwenzenu...wakati huo kenya ilikuwa keshapata fununu tayari...yaani kuna mambo mengi tanzania hamjui...
saa hizi mkapeleka media za kenya huko tz ..tutawafichulia mengi ya ajabu ambayo mmefichwa.
Halafu tuulize tu..lini mkasikia kenya eti baada ya uchaguzi....all the contestants wanakimbilia nchi jirani kutafuta hifadhi ya usalama kwa kuhofia maisha yao. Saa hii kuna bwana flani ako belgium..katoroka punde tu baada ya uchaguzi...
Bado mko nyuma tena sana. Eti ukiiambia serikali ukweli hayaaaaa toka mbio.....au sivyo
 
Halafu tuulize tu..lini mkasikia kenya eti baada ya uchaguzi....all the contestants wanakimbilia nchi jirani kutafuta hifadhi ya usalama kwa kuhofia maisha yao. Saa hii kuna bwana flani ako belgium..katoroka punde tu baada ya uchaguzi...
Hao ni wakimbizi wa kiuchumi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…