Mkuu Kama hatupimi na kwenye mabasi tunajazana still tuna confirmed cases 200 na vifoo kadhaa,hapo tunatoboa vipi? Labda kile kitengo za IT cha January kirudi kazini kuchakachua data otherwise huko mbele ni aibu
CCM ni chama si kabila kama la Wakikuyu au Wakalenjin!Hapa kwetu unaweza kuwa rais bila kuwa mwanaccm? CCM wapo wangapi nchi hii? Hapo tofauti yetu na Kenya ni Nini?
Kabila limefanyaje na ccm inafanyaje? Au Kuna ubaguzi mzuri na mbaya? Kule Kenya ni ubaguzi wa kikabila,hapa kwetu ni ubaguzi wa kichama kule SA kulikuwa na ubaguzi wa rangi,wote huo ni UBAGUZICCM ni chama si kabila kama la Wakikuyu au Wakalenjin!
jina lako linakueleza vizuri!Kabila limefanyaje na ccm inafanyaje? Au Kuna ubaguzi mzuri na mbaya? Kule Kenya ni ubaguzi wa kikabila,hapa kwetu ni ubaguzi wa kichama kule SA kulikuwa na ubaguzi wa rangi,wote huo ni UBAGUZI
Uwe unajipanga unapotaka kutetea upuuzi wenu,naona sasa umegeukia jina langu issue za ubaguzi umechemshajina lako linakueleza vizuri!
unapochanganya kabila na chama nashindwa kukusaidia "Bwana Hujijui"!Uwe unajipanga unapotaka kutetea upuuzi wenu,naona sasa umegeukia jina langu issue za ubaguzi umechemsha
Umesema shida ya Kenya kabila au ubaguzi wa kikabila?au key word kwenye hoja yako si UBAGUZI?unapochanganya kabila na chama nashindwa kukusaidia "Bwana Hujijui"!
chama cha siasa ni ideology! Huwezi ukachanganya na ethnicity! Kama ni hivyo vyama vya siasa vingeitwa tribes! Peleka upumbavu!Umesema shida ya Kenya kabila au ubaguzi wa kikabila?au key word kwenye hoja yako si UBAGUZI?
Ideology ya ubaguzi siyo?chama cha siasa ni ideology! Huwezi ukachanganya na ethnicity! Kama ni hivyo vyama vya siasa vingeitwa tribes! Peleka upumbavu!
Hivi kule SA wale Makaburu walikuwa wanapigwa Vita kwa kuwa jeshi lao ndo lilikuwa linatawala na si chama cha siasa si ndiyo mkuu?chama cha siasa ni ideology! Huwezi ukachanganya na ethnicity! Kama ni hivyo vyama vya siasa vingeitwa tribes! Peleka upumbavu!
Kuna mpinzani kakosa basic needs kama kipindi cha Makaburu? Kuna mpinzani anashindwa kujenga sehemu yeyote au kupiga kura Tanzania based on race/ethnicity?Hivi kule SA wale Makaburu walikuwa wanapigwa Vita kwa kuwa jeshi lao ndo lilikuwa linatawala na si chama cha siasa si ndiyo mkuu?
Kabila limefanyaje na ccm inafanyaje? Au Kuna ubaguzi mzuri na mbaya? Kule Kenya ni ubaguzi wa kikabila,hapa kwetu ni ubaguzi wa kichama kule SA kulikuwa na ubaguzi wa rangi,wote huo ni UBAGUZI
Wewe una waona wakenya wana akili timamu?.
yaani hao hawana tofauti na wanyama .
Angalia taarifa zao za habari.
haipiti siku utasikia kuna mtu kampige mwenzie shoka kamuua,mara mtu kakatwa masikio kwa kisu yaani ni mambo ya ajabu ajabu tu.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"