Wakenya mna tatizo gani?

Wakenya mna tatizo gani?

Sikusudii kusema kwa niaba ya Wakenya, ila nashangaa kama wao kitu gani hicho Citizen wanaombea msamaha, kiukweli hayo ya Magufuli kusema hatofunga makanisa, misikiti, mipaka na maeneo yote ya misongamano na kuambia watu waendelee na maisha yao kama kawaida yangesemwa na rais Uhuru, angetamani kuihama Kenya maana huku kwetu tunatambua urais ni taasisi ya umma na lazima uendeshwe kitaalam sio kwa hisia au imani za mtu au dini.
 
Citizen tv walisema ukweli na pia nyinyi mnaona matokea kwa kusema ukweli, sasa mbona washinde wakitusumbua sisi na apologies we are tired of watching that apology, they might as well send a transmission directly to the concerned person

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kama hatupimi na kwenye mabasi tunajazana still tuna confirmed cases 200 na vifoo kadhaa,hapo tunatoboa vipi? Labda kile kitengo za IT cha January kirudi kazini kuchakachua data otherwise huko mbele ni aibu
Hapa kwetu unaweza kuwa rais bila kuwa mwanaccm? CCM wapo wangapi nchi hii? Hapo tofauti yetu na Kenya ni Nini?
CCM ni chama si kabila kama la Wakikuyu au Wakalenjin!
 
CCM ni chama si kabila kama la Wakikuyu au Wakalenjin!
Kabila limefanyaje na ccm inafanyaje? Au Kuna ubaguzi mzuri na mbaya? Kule Kenya ni ubaguzi wa kikabila,hapa kwetu ni ubaguzi wa kichama kule SA kulikuwa na ubaguzi wa rangi,wote huo ni UBAGUZI
 
chama cha siasa ni ideology! Huwezi ukachanganya na ethnicity! Kama ni hivyo vyama vya siasa vingeitwa tribes! Peleka upumbavu!
Hivi kule SA wale Makaburu walikuwa wanapigwa Vita kwa kuwa jeshi lao ndo lilikuwa linatawala na si chama cha siasa si ndiyo mkuu?
 
Hivi kule SA wale Makaburu walikuwa wanapigwa Vita kwa kuwa jeshi lao ndo lilikuwa linatawala na si chama cha siasa si ndiyo mkuu?
Kuna mpinzani kakosa basic needs kama kipindi cha Makaburu? Kuna mpinzani anashindwa kujenga sehemu yeyote au kupiga kura Tanzania based on race/ethnicity?
 
Wewe si mzima una kichaa cha mbwa.
Wewe una waona wakenya wana akili timamu?.
yaani hao hawana tofauti na wanyama .
Angalia taarifa zao za habari.
haipiti siku utasikia kuna mtu kampige mwenzie shoka kamuua,mara mtu kakatwa masikio kwa kisu yaani ni mambo ya ajabu ajabu tu.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom