Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Ukipata nafasi ya ku-connect ndege pale Nairobi ukawasikia wakiongea, unajiuliza shida ni nini? Kwanini wasiendelee na hiyo lugha wanayojisifu wanaimudu? Ukisogea km 120 kwenda kule kwenye Geothermal plants, Naivasha kwenye maua na ile sehemu ya kulala kule ziwani Naivasha, huwezi kuelewa kama wanaongea kiswahili au kilugha.mnakitamani kiswahili cha Kenya sana ila hamu wezi ni cha kisomi zaidi.
Mkiweka ushindani pembeni, achaneni na Kiswahili, endeleeni kutumika kutaka kuivuruga TZ na hao watu weupe, jitieni korona feki kuhalalisha uinglishi wenu.