Wakenya muoneeni huruma huyo Gidhiri man, atapata vidonda vya tumbo, kila mtu anataka kupiga naye picha akila.

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wakuu kwanza nawapongeza kwa uchaguzi.
Nsiwachoshe sasaaa
Huyu baba wa watuu mnataka kupiga naye pichaaaa, kila mtu, makampuni n.k,
Si atapata vidonda vya tumbo kwa hayo maharage?
Muoneeni huruma jamani huyu baba wa watu maharage ni chakula kizuri ila yakizidi husababisha vidonda vya tumbo
 
Enzi zetu O level mpaka advance shule za serikali kila siku jioni ilikuwa ugali maharage. Na hakuumwa matumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kashakuwa celebrity na iyo itamlipa big time.Jana nimechek Samsung wamempa S8 mpya na kampuni nyigne ya Biscuits Britania wamempa kopo mbili za Biscuits.What next ni deal za matangazo.Chezea Githeri wewe.I miss those days tukila Githeri high School.Tulikuwa tunalalamika lakini ni chakula kizuri.
 





 
Ni githeri aisee linatamkwa getheri kwa kikikuyu. Huyu jamaa ikifika usiku kazi yake itakuwa ni mbio ya 100mita tu! Maanake githeri chote hicho ni hatari sana kwa afya ya binadamu na hata wanyama!
 
Ni githeri aisee linatamkwa getheri kwa kikikuyu. Huyu jamaa ikifika usiku kazi yake itakuwa ni mbio ya 100mita tu! Maanake githeri chote hicho ni hatari sana kwa afya ya binadamu na hata wanyama!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wamempa biscuits hahaha aache uroho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…