Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
I hope mko poa majirani zetu.

Nipo curious to know anything about hawa watu leo nmeambiwa kuna wengine wapo huo upande wenu, I was amazed, nlifkiri wapo tu tz.

Dear neighbours, tuwekeeni mambo mawili matatu kuhusu hao watu kuanzia lifestyles zao, shughuli zao, wanasifika kwa mambo gani, mchango wao, n.k
 
Wachaga. I doubt but wakuria wako. I went to high school in Migori county interacted with Kurias from Isebania kidogo. I only remember them for Kiswahili sanifu and mixing the letter 'r' with 'l'. Other than that very cool guyz. Naskia bhangi inapandwa huko tarime kama nyasi, not sure how true that is!

WaDigo pia wako both sides...Tanga kama sijakosea. Upande wa Kenya wako south coast. Likoni mpaka Lunga Lunga border
 
Wachaga.... I doubt but wakuria wako. I went to high school in Migori county interacted with Kurias from Isebania kidogo. I only remember them for Kiswahili sanifu and mixing the letter 'r' with 'l'. Other than that very cool guyz. Naskia bhangi inapandwa huko tarime kama nyasi....not sure how true that is!!!

😂😂 kwa kura tumepata kwa kurara je ( kura = kula, kurara - kulala)

hata huku ni hivi hivi mixing r and l

yes, tarime ni moja ya maeneo bangi inalimwa sana huku tz

Additionally, kwa huku Tz hawa wakurya sifa yao kuu ni kusifika kwa ushujaa na ukakamavu, wamejaa sana jeshini. kuanzia wanajeshi, polisi, matrafki, magereza, n.k wamerundikana, they just love this work. jwtz wanaifupishaga kwa utani ni jeshi la wakurya toka zamani 😂😂
 
😂😂 kwa kura tumepata kwa kurara je ( kura = kula, kurara - kulala)

hata huku ni hivi hivi mixing r and l

yes, bangi kwa tarime imekamatwa mara nyingi sana

Additionally, kwa huku Tz hawa jamaa ndio warriors wa taifa, wamejaa sana jeshini, ni wao na jeshi, wanapenda sana jeshi sijajua kwa huko. jwtz wanaifupishaga kwa utani ni jeshi la wakurya toka zamani 😂😂
Nadhani Kenya wako kidogo sana to make an impact. Actually most Kenyans I'm sure have never interacted with a Kuria...Myself I didn't know they exist until high school😀😀😀.... People here confuse them with Kisiis!!! I came to learn that they are not even neighbors with the Kisiii community.

Names like Marwa, Chacha and Robi (female) are assumed to be Kisii names but I know better since I've been to sirare, tarime Musoma and Mwanza in TZ and Kehancha, Taranganya and Isebania in Kenya
 
Nadhani Kenya wako kidogo sana to make an impact actually most Kenyans I'm sure have never interacted with a Kuria...Myself I didn't know they exist until high school😀😀😀.... People here confuse them with Kisiis!!! I came to learn that they are not even neighbors with the Kisiii community.

Names like Marwa, Chacha and Robi (female) are assumed to be Kisii names but I know better since I've been to sirare, tarime Musoma and Mwanza
Marwa, Chacha, Mwita 😂😂 Kumbe hata wakisii wanatumia hizi names, i never knew this

1607287782797.png
 
Huyo ata nashuku ni Mkuria but most Kenyans assume anyone by the name Chacha, Mwita, Marwa, ni mkisii. The most prominent Kuria huku would be senator Machage of Migori county
Vp tunapozungumzia swala la ukakamavu na ushujaa kwa kenya is it normal for many tribes?

Hawa ndugu zetu wakurya kulikuwa kuna vita nyingi sana hapo zamani za kuibiana ngombe, polisi walishindwa kutuliza ilibidi waende commandoes
 
I'm sure u know by now Kenya is a very tribalistic society ....unlike TZ. Huku most people can fluently speak their mother tongue....and strongly follow their tribal cultural beliefs. Below are some of the tribal stereo types as I know them.....

1. Business men/ entrepreneurs - Kikuyu, Somali, Kisii
2. Loyalty/honest/wangwana- Kamba, Taita
3. Proud/Braggarts - Luo
4. Strong/built - Luhya/Luo
5. Athletic - Kalenjin
6. Washamba - Kalenjin/Maasai/Turkana
7. Lazy - coastal tribes
8. Foody - Luhya
9. Temper/violence - Meru, Kisii
10. Best wives - Kambas
11. Black Magic - Kambas, Digos

Disclaimer ....these are just stereotypes
 
Huku kuna Wakuria, watata sana wale tena hubishani naye dakika mbili kabla hajaliamsha, nilishangaa kuona ndugu zao huko Tanzania pia wako hivyo, wagomvi na watemi sana.
Pia kuna Wakamba huku ambao nilishangaa wanaendana sana na Wapare wa Tanzania.
Tunachangia makabila kama vile Wajaluo, Wadigo, Wakuria, Wamaasai japo pia kuna makabila yana undugu fulani huko kwa mila na desturi, kwa mfano Waluhya wa Kenya wanaendana sana na Wanyambo wa Tanzania, hata lugha zinakaribiana sana.
 
am amazed...oooh..wow
 
am amazed...oooh..wow

Hamna kikubwa cha kushangaza hapo maana kumbuka hii mipaka alichora mzungu, aliwakuta ndugu wanaishi pamoja, watu wa kabila moja, ukoo mmoja hata wengine walichangia mama na baba ila akachora mipaka katikati yao na kuwaambia wa huko wajiite Watanganyika na huku Wakenya.
Leo hii hao ndugu, hata kumtembelea babu upande wa pili lazima uwe na paspoti na useme utakaa siku ngapi.
 
Huku kuna Wakuria, watata sana wale tena hubishani naye dakika mbili kabla hajaliamsha, nilishangaa kuona ndugu zao huko Tanzania pia wako hivyo, wagomvi na watemi sana.
Pia kuna Wakamba huku ambao nilishangaa wanaendana sana na Wapare wa Tanzania.
Tunachangia makabila kama vile Wajaluo, Wadigo, Wakuria, Wamaasai japo pia kuna makabila yana undugu fulani huko kwa mila na desturi, kwa mfano Waluhya wa Kenya wanaendana sana na Wanyambo wa Tanzania, hata lugha zinakaribiana sana.
Mhm mkuu hawa Wanyambo wa Karagwe Kagera na Waluhya wa Kenya wana unasaba mbona hata geography haisomi kabisa naona wanyambo wana unasaba na wanyarwanda SIJABISHA NAOMBA KUELIMISHWA
 
Are the Meru of Kenya the same as these in Tanzania. Is like they share some characteristics!!!!
I'm sure u know by now Kenya is a very tribalistic society ....unlike TZ. Huku most people can fluently speak their mother tongue....and strongly follow their tribal cultural beliefs. Below are some of the tribal stereo types as I know them.....

1. Business men/ entrepreneurs - Kikuyu, Somali, Kisii
2. Loyalty/honest/wangwana- Kamba, Taita
3. Proud/Braggarts - Luo
4. Strong/built - Luhya/Luo
5. Athletic - Kalenjin
6. Washamba - Kalenjin/Maasai/Turkana
7. Lazy - coastal tribes
8. Foody - Luhya
9. Temper/violence - Meru, Kisii
10. Best wives - Kambas
11. Black Magic - Kambas, Digos

Disclaimer ....these are just stereotypes
 
I hope mko poa majirani zetu

Nipo curious to know anything about hawa watu leo nmeambiwa kuna wengine wapo huo uoande, i was amazed, nlifkiri wapo tu tz.

Dear neigjbours, tuwekeeni mawili matatu

Wachaga wako kila mahali, na ukiona sehemu upo hakuna wachaga kimbia kuondoka.
🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Marwa, Chacha, Mwita 😂😂 Kumbe hata wakisii wanatumia hizi names, i never knew this

View attachment 1643513
No, this is not true. These two communities (Kurias and Kissis) are my neighbors and I know them very well. The names Chacha, Marwa and Mwita are a preserve of the Kuria community. You will never meet a Kisii by the name Mwita or Chacha. Never! Actually, I don't even think if Kisiis and Kurias share names though they have a lot in common, especially language
 
Nadhani Kenya wako kidogo sana to make an impact. Actually most Kenyans I'm sure have never interacted with a Kuria...Myself I didn't know they exist until high school😀😀😀.... People here confuse them with Kisiis!!! I came to learn that they are not even neighbors with the Kisiii community.

Names like Marwa, Chacha and Robi (female) are assumed to be Kisii names but I know better since I've been to sirare, tarime Musoma and Mwanza in TZ and Kehancha, Taranganya and Isebania in Kenya
Kumbe you schooled in my home county! I attended many school functions at Isebania during my high school days. I know that place quite well.

A point of correction though. Chacha, Marwa and Mwita are not kisii names. Those are Kuria names.

Back
Top Bottom