Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Wanyakonde na wanyasa hawapo Kenya. Alafu sidhani kama wameru wa Kenya na wale wa Tanzania wanakaribianaWadigo,wameru, wamakonde,wanyasa wapo Kenya na Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyakonde na wanyasa hawapo Kenya. Alafu sidhani kama wameru wa Kenya na wale wa Tanzania wanakaribianaWadigo,wameru, wamakonde,wanyasa wapo Kenya na Tanzania
Hawaelewani kabisa. Wakamba are eastern bantus while Kurias are western Bantus. Eastern bantus and western Bantus lugha zao haziendani. Ndio maana wakisii wanaelewana na wakuria coz both are western Bantus just the same way kikuyus and kambas pia huelewana coz they are eastern BantusNimewahi kukaa na wakamba, their language sounds like Kurya.
Nadhani wanaelewana wakiongea
Nadhani ni kwasababu ya changamoto za hapa na pale, kwa huku tz kuna wangoni, wao walikimbia vita zamani sana south africa wakafika mpaka kusini mwa Tz kwenye mkoa unaitwa Ruvuma.Sometimes i wonder where tanzanians got this kenyan names
Nyambura
Chege
Kairuki-kariuki
Mungai etc
Kakuongopea nani kenya hamna wamakonde? Au wanyasa.Wanyakonde na wanyasa hawapo Kenya. Alafu sidhani kama wameru wa Kenya na wale wa Tanzania wanakaribiana
I'm sure u know by now Kenya is a very tribalistic society ....unlike TZ. Huku most people can fluently speak their mother tongue....and strongly follow their tribal cultural beliefs. Below are some of the tribal stereo types as I know them.....
1. Business men/ entrepreneurs - Kikuyu, Somali, Kisii
2. Loyalty/honest/wangwana- Kamba, Taita
3. Proud/Braggarts - Luo
4. Strong/built - Luhya/Luo
5. Athletic - Kalenjin
6. Washamba - Kalenjin/Maasai/Turkana
7. Lazy - coastal tribes
8. Foody - Luhya
9. Temper/violence - Meru, Kisii
10. Best wives - Kambas
11. Black Magic - Kambas, Digos
Disclaimer ....these are just stereotypes
Mhm mkuu hawa Wanyambo wa Karagwe Kagera na Waluhya wa Kenya wana unasaba mbona hata geography haisomi kabisa naona wanyambo wana unasaba na wanyarwanda SIJABISHA NAOMBA KUELIMISHWA
Wahangaza kwa kiasi kikubwa ndio wanyarwanda (watutsi) ila wanyambo wameegemea zaidi kwa wahaya. Kiufupi Ukifika uhayani kuna makundi mengi mfano waziba wa bukoba, wanyaihangiro wa muleba na hao wanyambo wa karagwe. japo huwa kuna mtafaruku kujua wanyambo ni wahaya
Connection ya wahaya na waluhya yaweza kuwa hii.. Wahaya inasemekana origin yao ni Bunyoro ambayo kwa kiasi kikubwa ipo Eastern Uganda, Waluhya wapo Western Kenya hivyo ukiangalia jiografia utaona wanapakana.
Ukiangalia flow utaona western Kenya, Eastern Uganda hadi North western Tanzania ambapo ndipo wahaya wanapatikana ...
Huenda wamakonde wapo ila idadi yao ni chini sana halafu sidhani kama wanaongea lugha sawa na wamakonde wa Tanzania (not sure about this though). Wanyasa nao hawapo Kenya kabisa.Kakuongopea nani kenya hamna wamakonde? Au wanyasa.
Katika makabila 44,wamakonde na wahindi, ulishawahi kwenda ile njia ya mombasa to malindi?
Wamakonde are few and they were given citizenship three years ago. Although they came to Kenya from Mozambique in the 1960s, so they are not an original Kenyan tribe.Wanyakonde na wanyasa hawapo Kenya. Alafu sidhani kama wameru wa Kenya na wale wa Tanzania wanakaribiana
MK254 eti Mnyambo? HeheUmeiweka vizuri sana....
Mara ya kwanza kumsikia Mnyambo anaongea kwa simu nilidhani Mluhya maana Kiluhya nakifahamu (mashemeji wangu), ila kwa namna fulani maneno yalikua yanapishana lakini kwa asilimia kubwa wanachangia maneno mengi sana hata desturi na tamaduni.
Hao Wamakonde sio original Kenyan tribe. Hao walitembea kutoka Mozambique na kufika Kenya in the 1960s. Walipewa uraia wa Kenya miaka mitatu iliyopita na Rais Kenyatta.Kakuongopea nani kenya hamna wamakonde? Au wanyasa.
Katika makabila 44,wamakonde na wahindi, ulishawahi kwenda ile njia ya mombasa to malindi?
Umeiweka vizuri sana....
Mara ya kwanza kumsikia Mnyambo anaongea kwa simu nilidhani Mluhya maana Kiluhya nakifahamu (mashemeji wangu), ila kwa namna fulani maneno yalikua yanapishana lakini kwa asilimia kubwa wanachangia maneno mengi sana hata desturi na tamaduni.
Eroo loonchore, kae moda ninye? Mpuusu! [emoji1]I'm sure u know by now Kenya is a very tribalistic society ....unlike TZ. Huku most people can fluently speak their mother tongue....and strongly follow their tribal cultural beliefs. Below are some of the tribal stereo types as I know them.....
1. Business men/ entrepreneurs - Kikuyu, Somali, Kisii
2. Loyalty/honest/wangwana- Kamba, Taita
3. Proud/Braggarts - Luo
4. Strong/built - Luhya/Luo
5. Athletic - Kalenjin
6. Washamba - Kalenjin/Maasai/Turkana
7. Lazy - coastal tribes
8. Foody - Luhya
9. Temper/violence - Meru, Kisii
10. Best wives - Kambas
11. Black Magic - Kambas, Digos
Disclaimer ....these are just stereotypes
Yes, wadigo wanapatikana kote kote. Mfano, balozi wa sasa wa Kenya nchini Tanzania mhe. Danny Kazungu, ni mdigo wa kutokea Malindi Kenya.Wachaga. I doubt but wakuria wako. I went to high school in Migori county interacted with Kurias from Isebania kidogo. I only remember them for Kiswahili sanifu and mixing the letter 'r' with 'l'. Other than that very cool guyz. Naskia bhangi inapandwa huko tarime kama nyasi, not sure how true that is!
WaDigo pia wako both sides...Tanga kama sijakosea. Upande wa Kenya wako south coast. Likoni mpaka Lunga Lunga border
Not most Kenyans,it's you who assumes,kisii wanajulikana wanatumia Sana "O" just like luos ,kwa wakuria hakuna O kwa wingi, they are many kurias in government ,hata the current Ps for devolution Nelson marwa is from kuria.Huyo ata nashuku ni Mkuria but most Kenyans assume anyone by the name Chacha, Mwita, Marwa, ni mkisii. The most prominent Kuria huku would be senator Machage of Migori county
Nchi ambazo Zina muingiliano wa jamii Africa mashariki kwa wingi Ni Tanzania na Kenya ,Kuna maasai,luo,suba, meru,kuria,digo, Kuna kabila tanzania la mijikenda Sina uhakika Kama wanatumia lugha sawa na mijikenda la Kenya kwa sababu mijikenda huku Ni mkusanyiko wa kabila ndogo Tisa wadigo wakiwa ndani,pia Kuna wakikuyu tanzania na wakikuyu Kenya ,Kuna wakamba Tanzania pale morogoro japo kwa wingi wapo kenya,Kuna Tanzania kabila la kisi japo Sina uhakika Kama wanatumia lugha sawa na wakisii wa kenya. Pia nilisikia prof.palamagamba akisema anatoka Iringa tanzania japo hakutaja kabila lake kwa jina lakini alisema Hilo kabila lake huku Kenya linaitwa kipsigis ambalo Ni kabila dogo la jamii kubwa ya kalenjin.[emoji23][emoji23] kwa kura tumepata kwa kurara je ( kura = kula, kurara - kulala)
hata huku ni hivi hivi mixing r and l
yes, tarime ni moja ya maeneo bangi inalimwa sana huku tz
Additionally, kwa huku Tz hawa wakurya sifa yao kuu ni kusifika kwa ushujaa na ukakamavu, wamejaa sana jeshini. kuanzia wanajeshi, polisi, matrafki, magereza, n.k wamerundikana, they just love this work. jwtz wanaifupishaga kwa utani ni jeshi la wakurya toka zamani [emoji23][emoji23]