Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

@ Dudu jeupe one thing certainly those folks around our borders between ndangayika and kenya,They have no
teast or desire to eat any products from geza meat processing plant in sabawanga.
There is a huge market for geza meat to nganganyika cousin Chinese.
.
 
Wahangaza kwa kiasi kikubwa ndio wanyarwanda (watutsi) ila wanyambo wameegemea zaidi kwa wahaya. Kiufupi Ukifika uhayani kuna makundi mengi mfano waziba wa bukoba, wanyaihangiro wa muleba na hao wanyambo wa karagwe. japo huwa kuna mtafaruku kujua wanyambo ni wahaya

Connection ya wahaya na waluhya yaweza kuwa hii.. Wahaya inasemekana origin yao ni Bunyoro ambayo kwa kiasi kikubwa ipo Eastern Uganda, Waluhya wapo Western Kenya hivyo ukiangalia jiografia utaona wanapakana.
Ukiangalia flow utaona western Kenya, Eastern Uganda hadi North western Tanzania ambapo ndipo wahaya wanapatikana ...
Waluhya inasemekana wanatoka katika kabila la waganda hata ndio kabila pekee ambalo Ni la kifalume japo serikali haijaupa huo uongozi wao kipau mbele na hautambuliki na wengi, waluhya wanaingiana na wahaya kidogo japo hata kinyankole na kiluhya zinakaribiana.
 
Yes, wadigo wanapatikana kote kote. Mfano, balozi wa sasa wa Kenya nchini Tanzania mhe. Danny Kazungu, ni mdigo wa kutokea Malindi Kenya.
Dani kazungu sio mdigo Ni mgiryama japo wote wadigo na wagiryama wapo kundi moja au kabila moja la mijikenda , kenya mkizungumza lugha ambazo zinakaribiana mnawekwa kundi moja mnakua kabila moja. Wadigo hawapatikani malindi ,malindi Ni kwa wagiryama, wachonyi,waribe,warabai ,wakauma etc, wadigo wanapatikana kwale ambapo wanaishi na wadhuruma na wamakonde,wadigo 90% Ni waisilamu na wagiryama 90% Ni wakristo.
 
Hao Wamakonde sio original Kenyan tribe. Hao walitembea kutoka Mozambique na kufika Kenya in the 1960s. Walipewa uraia wa Kenya miaka mitatu iliyopita na Rais Kenyatta.
Sawa sawa.

Ila si wamakonde wa Kenya mkuu?
 
Huenda wamakonde wapo ila idadi yao Ni chini sana halafu sidhani kama wanaongea lugha sawa na wamakonde wa Tanzania (not sure about this though). Wanyasa nao hawapo Kenya kabisa
Wana chale na ndonya kabisa
 
Waluhya inasemekana wanatoka katika kabila la waganda hata ndio kabila pekee ambalo Ni la kifalume japo serikali haijaupa huo uongozi wao kipau mbele na hautambuliki na wengi, waluhya wanaingiana na wahaya kidogo japo hata kinyankole na kiluhya zinakaribiana.

Hapo inaweza kueleweka japo inasikitisha watu kunyimwa fursa kutokana na kabila zao.
Ila hatuchekani sana neighbour maana hata huku kwetu tunaungua 😁
 
No, this is not true. These two communities (Kurias and Kissis) are my neighbors and I know them very well. The names Chacha, Marwa and Mwita are a preserve of the Kuria community. You will never meet a Kisii by the name Mwita or Chacha. Never! Actually, I don't even think if Kisiis and Kurias share names though they have a lot in common, especially language
They share names eg Mwango, mochache,
 
Mchaga kwa mpakani ni kama bahari na mkondo bahari
 
Huku kuna Wakuria, watata sana wale tena hubishani naye dakika mbili kabla hajaliamsha, nilishangaa kuona ndugu zao huko Tanzania pia wako hivyo, wagomvi na watemi sana.
Pia kuna Wakamba huku ambao nilishangaa wanaendana sana na Wapare wa Tanzania.
Tunachangia makabila kama vile Wajaluo, Wadigo, Wakuria, Wamaasai japo pia kuna makabila yana undugu fulani huko kwa mila na desturi, kwa mfano Waluhya wa Kenya wanaendana sana na Wanyambo wa Tanzania, hata lugha zinakaribiana sana.
Kuna Wakamba pia Tanzania. Cha kuchekesha Wamaasai huwa wanawaona kama washamba
 
This is 100% true. I happen to live next to the border betwen the Kuria and the Luo and I can attest to this. These people are professional cattle rustlers. At one point, even the regular police could not combat them. It had to take the involvement of the special anti-theft stock unit to cool matters down. They took so many herds from our side that it reached a point we stopped keeping animals all together. Sad but true 😂
Wewe utakuwa Omera wa Ombo, Kakrao au Oruba migori!
 
Umeiweka vizuri sana....
Mara ya kwanza kumsikia Mnyambo anaongea kwa simu nilidhani Mluhya maana Kiluhya nakifahamu (mashemeji wangu), ila kwa namna fulani maneno yalikua yanapishana lakini kwa asilimia kubwa wanachangia maneno mengi sana hata desturi na tamaduni.
Mnyambo anaweza kula ugali kuku kulingana na Mluyha??!!
 
I'm sure u know by now Kenya is a very tribalistic society ....unlike TZ. Huku most people can fluently speak their mother tongue....and strongly follow their tribal cultural beliefs. Below are some of the tribal stereo types as I know them.....

1. Business men/ entrepreneurs - Kikuyu, Somali, Kisii
2. Loyalty/honest/wangwana- Kamba, Taita
3. Proud/Braggarts - Luo
4. Strong/built - Luhya/Luo
5. Athletic - Kalenjin
6. Washamba - Kalenjin/Maasai/Turkana
7. Lazy - coastal tribes
8. Foody - Luhya
9. Temper/violence - Meru, Kisii
10. Best wives - Kambas
11. Black Magic - Kambas, Digos

Disclaimer ....these are just stereotypes
Kamba best wives?!!! Hahaaa, si ni kama kulima miwa karibu na shule ya msingi! Ungesema Taita au Pokomo hapo sawa
 
ila wapokomo ni mali safi chini ya maji walai, yani kuna wengine wapo km waswahili vile..
Unawasifia tu wapokomo kwa sababu wewe Ni mpokomo lakini si wazuri vile haswa wanaume wao hao watu wa hola nawajua hawawezi karibia wataita/wataveta.
 
Back
Top Bottom