Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No. I am 100% Tanzanian lakini nimepita sana huko, Kaka yangu alikuwa na rafiki wengi huko kwa sababu amesoma Kenya. Unatoka Oruba kule juu? Hahahaa, kwa Mzee nani? Ja'Migori!😂 😂 😂 😂
You got me. Oruba ndio base. How did you figure this out? Are you also a Migori native?
No there aren't but kuna jamii nyingi hasa za kibantu huwa na majina yanafanana hadi maana mfano wa majina ya kikuria niSo there are Kurias going by the name Mwango and Mochache!? 🤔 🤔
I didn't know that.
Kuna huyu journalist alikuwa anaitwa Richard Chacha wa NTV. Sijui kama unamfahamu?Prominent Kuria names ni Kama Bingwa Nelson Marwa, Nominated Mp Denittah Ghati. Prof. Nyaigoti chacha Nyaigoti Head of Kiswahili East Africa to name but afew.Bwana Nicxie pole kwa yaliowapata cha ajabu leo pia niko nyumbani kuna jamii ya luo wameandamana na polisi wako upande huu wa kwetu waliibiwa ngombe na wakuria ndizo wanatafuta hawajazipata zinakisiwa kuvuka mpaka kwenda Tanzania
Yaani Wakurya ni bantus and yet mnafanya pastoralism? Wabantu karibu wote wanafanya farming inakuaje nyinyi mnafanya pastoralism? Ama ni kwa sababu mumeinteract na Wamaasai sana?No there aren't but kuna jamii nyingi hasa za kibantu huwa na majina yanafanana hadi maana mfano wa majina ya kikuria ni
Wambura_rainy season/rain
Murimi_farmer
Boke_honey
Wegesa_harvest
Sasa mbona Bongo wamasai ni wemgi kuliko hata wajaruo na ni top 3 ya makabila makubwa hapa bongo....Lakini wazungu wote wanajua wamasai wanapatikana Kenya?Prominent Kuria names ni Kama Bingwa Nelson Marwa, Nominated Mp Denittah Ghati. Prof. Nyaigoti chacha Nyaigoti Head of Kiswahili East Africa to name but afew.Bwana Nicxie pole kwa yaliowapata cha ajabu leo pia niko nyumbani kuna jamii ya luo wameandamana na polisi wako upande huu wa kwetu waliibiwa ngombe na wakuria ndizo wanatafuta hawajazipata zinakisiwa kuvuka mpaka kwenda Tanzania
JWTZ=Jeshi la Wakurya Toka Zamani,.....!!!1😂😂 kwa kura tumepata kwa kurara je ( kura = kula, kurara - kulala)
hata huku ni hivi hivi mixing r and l
yes, tarime ni moja ya maeneo bangi inalimwa sana huku tz
Additionally, kwa huku Tz hawa wakurya sifa yao kuu ni kusifika kwa ushujaa na ukakamavu, wamejaa sana jeshini. kuanzia wanajeshi, polisi, matrafki, magereza, n.k wamerundikana, they just love this work. jwtz wanaifupishaga kwa utani ni jeshi la wakurya toka zamani 😂😂
Wamaasai hapa Kenya ni wachache mno. Hata hawapo kwenye top 5 ya makibila makubwa.Sasa mbona Bongo wamasai ni wemgi kuliko hata wajaruo na ni top 3 ya makabila makubwa hapa bongo....Lakini wazungu wote wanajua wamasai wanapatikana Kenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
We mama Rhoda,Kura tumekura kurara tutarara wapi?[emoji23][emoji23] kwa kura tumepata kwa kurara je ( kura = kula, kurara - kulala)
hata huku ni hivi hivi mixing r and l
yes, tarime ni moja ya maeneo bangi inalimwa sana huku tz
Additionally, kwa huku Tz hawa wakurya sifa yao kuu ni kusifika kwa ushujaa na ukakamavu, wamejaa sana jeshini. kuanzia wanajeshi, polisi, matrafki, magereza, n.k wamerundikana, they just love this work. jwtz wanaifupishaga kwa utani ni jeshi la wakurya toka zamani [emoji23][emoji23]
Kuna mtu aliwahi kuwatangazia wakurya kuwa kuna vita, mahali fulani. Walifurahi sana kusikia hivyo wakachukua silaha zao kuelekea vitani. Kufika eneo lililokuwa linasemaekana kuwa ndiyo kuna vita, likatolewa tangazo jingine tena kuwa vita hiyo haipo imeahirishwa mpaka hapo baadaye. Wakurya wakasikitika sana kuikosa hiyo vita, na kwa upande mwingine wakadharau sana wakawa wanajiuliza "sasa fita gani tena hii mura ya kupangiana tarehe?"Vp tunapozungumzia swala la ukakamavu na ushujaa kwa kenya is it normal for many tribes?
Hawa ndugu zetu wakurya kulikuwa kuna vita nyingi sana hapo zamani za kuibiana ngombe, polisi walishindwa kutuliza ilibidi waende commandoes
Wajaluo ni wengi kushinda wamasai hapa Kenya.
Jina Makori linatumiwa na jamii zote za Wakisii na Wakurya. Tena kwa Tanzania hata Wanata, Wangoreme kiasi fulani unaweza kulikutaNo there aren't but kuna jamii nyingi hasa za kibantu huwa na majina yanafanana hadi maana mfano wa majina ya kikuria ni
Wambura_rainy season/rain
Murimi_farmer
Boke_honey
Wegesa_harvest
Hata Wasukuma ni pure Bantu na kabila kubwa Tanzania lakini wanafanya pastoralism na farming. Jamii nyingine za Bantu zinazofanya pastoralism ni Wangoreme, Wazanaki n.k. Inawezekana pia ni kwa sababu ya kupakana na pastorists, na pia kama mmoja alivyosema ukiangalia Bantus wa North Western wanafuga sana wakati wale wa Pwani na Kusini hawafugi.Yaani Wakurya ni bantus and yet mnafanya pastoralism? Wabantu karibu wote wanafanya farming inakuaje nyinyi mnafanya pastoralism? Ama ni kwa sababu mumeinteract na Wamaasai sana?
He was involved in a grissly road accident in 2012 that left him paralysed. He almost lost his life but remained confined to the wheelchair. I think he lost his job with NTV thereafter. So sad happening to one of the best journalists at NTV at that timeKuna huyu journalist alikuwa anaitwa Richard Chacha wa NTV. Sijui kama unamfahamu?
If you know the area around former MP and Minister John Henry Okwanyo's home. That's the place. Was born and raised there. Our home is directly opposite Total Petrol station hizo sides za juu.No. I am 100% Tanzanian lakini nimepita sana huko, Kaka yangu alikuwa na rafiki wengi huko kwa sababu amesoma Kenya. Unatoka Oruba kule juu? Hahahaa, kwa Mzee nani? Ja'Migori!
Are you sure? Kiswahili chako kimelainika sana. At first I thought you are from the coastal regionBoss wewe ukiingia jamii forum ulikuwa unaongea sheng tu. Hukuwa unaweza kuconstruct sentence hata moja ya kiswahili. I am happy to see the transformation. Haha. Hata mimi I was just the same nikiingia huku.
Mimi ilibidi nibuburuze hadi pwani (taita) kutafuta jiko 😂Mimi hawa wasichana wa taita huwa wananimaliza kabisa. Nilikuwa na girlfriend mmoja Mtaita na alikuwa mrembo sana. Lakini kabila zote za pwani iwe mijikenda pokomo na kadhalika wana tamaduni nzuri likija kwenye swala la mke kumheshimu mume wake. Wanajua kutunza wanaume wao ndani ya nyumba. Lakini ukija huku bara nilikolelewa, unakuta mke anampiga ndondi mume wake bila wasiwasi. Halafu wanawake Waganda pia wana heshima sana. Nimewahi kuenda kwa nyumba ya mganda. Wanawake wote wanapiga magoti ili kukusalimia. Hadi mtu anahisi aibu.
Wajaluo ndio kabila la nne kwa ukubwa nchini Kenya. Ni wengi kuliko wamaasaiHivi wamasaai na wajaruo lipi kabila kubwa?