Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Nimeulizia kwa Africa in generalWajaluo ndio kabila la nne kwa ukubwa nchini Kenya. Ni wengi kuliko wamaasai
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeulizia kwa Africa in generalWajaluo ndio kabila la nne kwa ukubwa nchini Kenya. Ni wengi kuliko wamaasai
Africa in general hapo sina jibu ila ninachokijua ni kwamba makabila kubwa hapa Africa hupatika Nigeria and West Africa in general. I think the Hausa in Nigeria is the largest ethnic group in Africa. It is estimated that they make up to 25% of Nigerian population. Hiyo ni kama population nzima ya Kenya!
Nasikia wapare na shilingi ni zaidi ya chanda na pete. Eti na wanawazidi hata watu wa Nyumba ya Mumbi. Ndio huyu hapa mpare baada ya kudondosha 'coin'. [emoji38]Kenya pia wapare wako. pale Taveta.
I didn't know this. This is very sad. I still remember him. Very brilliant journalist.He was involved in a grissly road accident in 2012 that left him paralysed. He almost lost his life but remained confined to the wheelchair. I think he lost his job with NTV thereafter. So sad happening to one of the best journalists at NTV at that time
Hahaha. I am not from the coast. My written swahili was terrible just three years ago.Are you sure? Kiswahili chako kimelainika sana. At first I thought you are from the coastal region
Wow that is nice. I am just planning to go there myself. Nimeamua lazima nikwachue mschana wa coast. Napanga kurelocate coast for a while.Mimi ilibidi nibuburuze hadi pwani (taita) kutafuta jiko 😂
Besides beauty, they are also well-behaved unlike hawa wa huku kwetu bara
Kwahyo nini kilikusaidia kuimprove?Hahaha. I am not from the coast. My written swahili was terrible just three years ago.
Huku bongo ndo vice versa...Yani ukienda coast ndo unakutana na wanawake waswahili kinoma hawana hata chembe ya heshima.Wow that is nice. I am just planning to go there myself. Nimeamua lazima nikwachue mschana wa coast. Napanga kurelocate coast for a while.
Nilijua tu una damu ya kipokomo kwa jinsi ulivyowasifia, Hayo matani tu dadangu hao ndugu zangu nawapenda bure .I was giving out an opinion mzee baba hapa hatukujia malumbano..eti wanaume zao, engineer acha kuona wanaume wazuri bana[emoji23][emoji23]
Anyway mi babangu ni mdigo mamangu ndio mpokomo.
Mchanganyiko wa vyote, English, Swahili and lugha za ajabu ajabu sijui zinatokea . Kuna maneno flani si ya kizungu Wala ya kiswahili au hata lugha asilia na hio ndio sababu hio lugha hua siipendi kabisa.
LuoHivi wamasaai na wajaruo lipi kabila kubwa?
Hao wamaasai wa bongo ni million ngapi? Maana huku wajaluo Ni karibu ya million tano na maasai million mbili.Sasa mbona Bongo wamasai ni wemgi kuliko hata wajaruo na ni top 3 ya makabila makubwa hapa bongo....Lakini wazungu wote wanajua wamasai wanapatikana Kenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifahamu...Bongo huwa hawahesabu makabilaHao wamaasai wa bongo ni million ngapi? Maana huku wajaluo Ni karibu ya million tano na maasai million mbili.
Oromo Ni 50 million wale wa Ethiopia Kama hujaongeza oromo Wakenya.Africa in general hapo sina jibu ila ninachokijua ni kwamba makabila kubwa hapa Africa hupatika Nigeria and West Africa in general. I think the Hausa in Nigeria is the largest ethnic group in Africa. It is estimated that they make up to 25% of Nigerian population. Hiyo ni kama population nzima ya Kenya!
[emoji28][emoji28]Hahah daah em weka kama sentensi mbili tuoneMchanganyiko wa vyote, English, Swahili and lugha za ajabu ajabu sijui zinatokea . Kuna maneno flani si ya kizungu Wala ya kiswahili au hata lugha asilia na hio ndio sababu hio lugha hua siipendi kabisa.
Hata Kenya hawahesabu makabila lakini wakifanya census lazima utaulizwa unakotokea na kwa hivyo itajulikana tu.
Leo nafeel njeve videadly manze.