Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Yes, i remember Total station and Okwanyo residence. Nakumbuka wakati fulani nilienda huko na kulikuwa na msiba kwake na kama sikosei alikuwa msabato na Kijana wake alikuwa pia diwani (before decentralization during Moi era). Ila misiba ya huko yaani inachukua almost two weeks.
Kijaluo sikijui labda maneno kama Oyaore, Oimore,kunywa nyuka kwa agwata nk. Japo kukielewa kwa mbali mtu akizungumza. Hivi Total station ilikuwa karibu na Migori Primary?
Wah! You know this place really well. Yes, familia ya Okwanyo ni wasabato na pia ni kweli kijana wake alikuwa diwani. Sadly huyo diwani aliaga mwaka wa 2008. Misiba za huku huchukua hata wiki tatu 😂. Sounds funny I know.
Yes, total petrol station iko karibu na Migori primary ila hazijakaribiana sana. Migori primary inakaribiana na Migori Teachers College then Total iko roughly 500 meters upande wa juu ukitoka town, on your way to Sirare/Isebania
Nimecheza mpira hapo migori teachers college kombe la trust ilikuwa mipira y kiume tukawa washindi wa pili kisha tukaenda chuo cha kamagambo cha wasabato tukapiga match na kuwa wa pili tukapiga hela kama zote
Mazingira ya migori hasa ukiwa unapita barabara kilipo kiwanda cha sukari ni kijani kwa mwaka mzima
Watoto wa kenya weusi wazuri na wanapenda sana wanaume kutoka Tanzania nilipiga kamoja kalinifuata tarime .
Dah, mkiendelea kudadavua mnaweza kujikuta kumbe ni jamaa moja mmechangia ukoo, au mmeoleana...Missed those old days. Ila my friend chunga sana those areas, Aids iko mingi sana, i mean Lake zone, from Tanzania to Migori, Awendo, Homabay, Karachuonyo, mpaka Kiaumu. Hata Kijana wa Okwanyo Watu walikuwa gossip kuwa hata Wanakwaya wanaimba ila miongoni mwao wana majonzi kwa kuwa walikuwa in cycle!