Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Nitacome kukucheki mangware twende wera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitacome kukucheki mangware twende wera.
Jibu zuri sana, thanks kwa mchangoHata Wasukuma ni pure Bantu na kabila kubwa Tanzania lakini wanafanya pastoralism na farming. Jamii nyingine za Bantu zinazofanya pastoralism ni Wangoreme, Wazanaki n.k. Inawezekana pia ni kwa sababu ya kupakana na pastorists, na pia kama mmoja alivyosema ukiangalia Bantus wa North Western wanafuga sana wakati wale wa Pwani na Kusini hawafugi.
Leo nahisi baridi,neno njeve Ni baridi na si la kiswahili Wala kizungu au hata moja ya lugha asilia hapa sijui latokea wapi.
Brother tatizo unasikiaga tuulize sisi tuliokaa nao,Huku bongo ndo vice versa...Yani ukienda coast ndo unakutana na wanawake waswahili kinoma hawana hata chembe ya heshima.
ila bara sasa ndo utatengewa maji ya kuoga na kupigiwa magoti uende kuoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika Mkoa wa Kilimanjaro kuna koo (clans) ambazo zilitokana na wahamiaji kutoka Kenya. Kwa mfano kuna akina Maina, Makundi, etcHuku kuna Wakuria, watata sana wale tena hubishani naye dakika mbili kabla hajaliamsha, nilishangaa kuona ndugu zao huko Tanzania pia wako hivyo, wagomvi na watemi sana.
Pia kuna Wakamba huku ambao nilishangaa wanaendana sana na Wapare wa Tanzania.
Tunachangia makabila kama vile Wajaluo, Wadigo, Wakuria, Wamaasai japo pia kuna makabila yana undugu fulani huko kwa mila na desturi, kwa mfano Waluhya wa Kenya wanaendana sana na Wanyambo wa Tanzania, hata lugha zinakaribiana sana.
Ebu expound on this pleaseKatika Mkoa wa Kilimanjaro kuna koo (clans) ambazo zilitokana na wahamiaji kutoka Kenya. Kwa mfano kuna akina Maina, Makundi, etc
Katika Mkoa wa Kilimanjaro kuna koo (clans) ambazo zilitokana na wahamiaji kutoka Kenya. Kwa mfano kuna akina Maina, Makundi, etc
Nadhani wakikuyu ndio kila December ni lazima warudi nyumbani huko kwao kusherekea xmass na mwaka mpya mm naamini kenya hamna wachaga ila kuna kabila lina sifa zote za wachagaHistoria inaeleza kwamba Wakikuyu waliishi Kilimanjaro miaka mingi wakati wanatokea Congo kabla kufikia mlima Kenya na waliacha uzao hapo.
Yes, i remember Total station and Okwanyo residence. Nakumbuka wakati fulani nilienda huko na kulikuwa na msiba kwake na kama sikosei alikuwa msabato na Kijana wake alikuwa pia diwani (before decentralization during Moi era). Ila misiba ya huko yaani inachukua almost two weeks.If you know the area around former MP and Minister John Henry Okwanyo's home. That's the place. Was born and raised there. Our home is directly opposite Total Petrol station hizo sides za juu.
You seem to know Migori quite well. From the way you talk, hata kijaluo ni Kama unazungumza 😂
We need to hook up omera!
Wah! You know this place really well. Yes, familia ya Okwanyo ni wasabato na pia ni kweli kijana wake alikuwa diwani. Sadly huyo diwani aliaga mwaka wa 2008. Misiba za huku huchukua hata wiki tatu 😂. Sounds funny I know.Yes, i remember Total station and Okwanyo residence. Nakumbuka wakati fulani nilienda huko na kulikuwa na msiba kwake na kama sikosei alikuwa msabato na Kijana wake alikuwa pia diwani (before decentralization during Moi era). Ila misiba ya huko yaani inachukua almost two weeks.
Kijaluo sikijui labda maneno kama Oyaore, Oimore,kunywa nyuka kwa agwata nk. Japo kukielewa kwa mbali mtu akizungumza. Hivi Total station ilikuwa karibu na Migori Primary?
Wah! You know this place really well. Yes, familia ya Okwanyo ni wasabato na pia ni kweli kijana wake alikuwa diwani. Sadly huyo diwani aliaga mwaka wa 2008. Misiba za huku huchukua hata wiki tatu [emoji23]. Sounds funny I know.
Yes, total petrol station iko karibu na Migori primary ila hazijakaribiana sana. Migori primary inakaribiana na Migori Teachers College then Total iko roughly 500 meters upande wa juu ukitoka town, on your way to Sirare/Isebania
Boss acha kuanzisha mijadala yenye lengo la kuleta mabishano yasiyo na maana, Uzi huu ni miongoni mwa nyuzi top 3 humu ambazo wakenya na tz tunachangia vitu positively.Watoto wa kenya weusi wazuri na wanapenda sana wanaume kutoka Tanzania nilipiga kamoja kalinifuata tarime .
Missed those old days. Ila my friend chunga sana those areas, Aids iko mingi sana, i mean Lake zone, from Tanzania to Migori, Awendo, Homabay, Karachuonyo, mpaka Kiaumu. Hata Kijana wa Okwanyo Watu walikuwa gossip kuwa hata Wanakwaya wanaimba ila miongoni mwao wana majonzi kwa kuwa walikuwa in cycle!Wah! You know this place really well. Yes, familia ya Okwanyo ni wasabato na pia ni kweli kijana wake alikuwa diwani. Sadly huyo diwani aliaga mwaka wa 2008. Misiba za huku huchukua hata wiki tatu 😂. Sounds funny I know.
Yes, total petrol station iko karibu na Migori primary ila hazijakaribiana sana. Migori primary inakaribiana na Migori Teachers College then Total iko roughly 500 meters upande wa juu ukitoka town, on your way to Sirare/Isebania
Nadhani wakikuyu ndio kila December ni lazima warudi nyumbani huko kwao kusherekea xmass na mwaka mpya mm naamini kenya hamna wachaga ila kuna kabila lina sifa zote za wachaga
Awendo sugarbelt ni kijani mwanzo mwisho. Sugarcane plantations line both sides of the road from Ranen all the way to Kakrao, a few kilometers from Migori town.Nimecheza mpira hapo migori teachers college kombe la trust ilikuwa mipira y kiume tukawa washindi wa pili kisha tukaenda chuo cha kamagambo cha wasabato tukapiga match na kuwa wa pili tukapiga hela kama zote
Mazingira ya migori hasa ukiwa unapita barabara kilipo kiwanda cha sukari ni kijani kwa mwaka mzima
Watoto wa kenya weusi wazuri na wanapenda sana wanaume kutoka Tanzania nilipiga kamoja kalinifuata tarime .
Wamasai wa Kenya Ni wengi than wa Tanzania... GoogleNa Tanzania Wajaluo ni wachache kuliko Wamaasai. Na Wamaasai ni wengi Tanzania kuliko Kenya!
Haha! 🤣🤣 nimejikuta nacheka sana hadi watu wananishangaa. Dah pingli-nywee huendi mbinguni aisee!😂😂 ...Nasikia wapare na shilingi ni zaidi ya chanda na pete. Eti na wanawazidi hata watu wa Nyumba ya Mumbi. Ndio huyu hapa mpare baada ya kudondosha 'coin'. [emoji38]Mshana Jr njoo ujibu mashtaka.![]()