Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

Hata Wasukuma ni pure Bantu na kabila kubwa Tanzania lakini wanafanya pastoralism na farming. Jamii nyingine za Bantu zinazofanya pastoralism ni Wangoreme, Wazanaki n.k. Inawezekana pia ni kwa sababu ya kupakana na pastorists, na pia kama mmoja alivyosema ukiangalia Bantus wa North Western wanafuga sana wakati wale wa Pwani na Kusini hawafugi.
Jibu zuri sana, thanks kwa mchango
 
Huku bongo ndo vice versa...Yani ukienda coast ndo unakutana na wanawake waswahili kinoma hawana hata chembe ya heshima.
ila bara sasa ndo utatengewa maji ya kuoga na kupigiwa magoti uende kuoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother tatizo unasikiaga tuulize sisi tuliokaa nao,

Tanzania coast ni kubwa sana, Kwa maeneo kama tanga tulio wahi kwenda huko ndo tulihakikisha kwa macho yetu kweli wale mabinti wamefundwa mapenzi, Utapashiwa maji, kukandwa mgongo, n.k.

Ila kama unazungumzia coastal ya huku dar kiukweli kumevurugika, na ukitumia assumption ya dar ku generelize tabia za watu wote wa coast ushafeli
 
Huku kuna Wakuria, watata sana wale tena hubishani naye dakika mbili kabla hajaliamsha, nilishangaa kuona ndugu zao huko Tanzania pia wako hivyo, wagomvi na watemi sana.
Pia kuna Wakamba huku ambao nilishangaa wanaendana sana na Wapare wa Tanzania.
Tunachangia makabila kama vile Wajaluo, Wadigo, Wakuria, Wamaasai japo pia kuna makabila yana undugu fulani huko kwa mila na desturi, kwa mfano Waluhya wa Kenya wanaendana sana na Wanyambo wa Tanzania, hata lugha zinakaribiana sana.
Katika Mkoa wa Kilimanjaro kuna koo (clans) ambazo zilitokana na wahamiaji kutoka Kenya. Kwa mfano kuna akina Maina, Makundi, etc
 
Katika Mkoa wa Kilimanjaro kuna koo (clans) ambazo zilitokana na wahamiaji kutoka Kenya. Kwa mfano kuna akina Maina, Makundi, etc

Historia inaeleza kwamba Wakikuyu waliishi Kilimanjaro miaka mingi wakati wanatokea Congo kabla kufikia mlima Kenya na waliacha uzao hapo.
 
Historia inaeleza kwamba Wakikuyu waliishi Kilimanjaro miaka mingi wakati wanatokea Congo kabla kufikia mlima Kenya na waliacha uzao hapo.
Nadhani wakikuyu ndio kila December ni lazima warudi nyumbani huko kwao kusherekea xmass na mwaka mpya mm naamini kenya hamna wachaga ila kuna kabila lina sifa zote za wachaga
 
The CEO, Geza meat processing plant met high delegation from China.
News
 
If you know the area around former MP and Minister John Henry Okwanyo's home. That's the place. Was born and raised there. Our home is directly opposite Total Petrol station hizo sides za juu.
You seem to know Migori quite well. From the way you talk, hata kijaluo ni Kama unazungumza 😂
We need to hook up omera!
Yes, i remember Total station and Okwanyo residence. Nakumbuka wakati fulani nilienda huko na kulikuwa na msiba kwake na kama sikosei alikuwa msabato na Kijana wake alikuwa pia diwani (before decentralization during Moi era). Ila misiba ya huko yaani inachukua almost two weeks.

Kijaluo sikijui labda maneno kama Oyaore, Oimore,kunywa nyuka kwa agwata nk. Japo kukielewa kwa mbali mtu akizungumza. Hivi Total station ilikuwa karibu na Migori Primary?
 
Wah! You know this place really well. Yes, familia ya Okwanyo ni wasabato na pia ni kweli kijana wake alikuwa diwani. Sadly huyo diwani aliaga mwaka wa 2008. Misiba za huku huchukua hata wiki tatu 😂. Sounds funny I know.

Yes, total petrol station iko karibu na Migori primary ila hazijakaribiana sana. Migori primary inakaribiana na Migori Teachers College then Total iko roughly 500 meters upande wa juu ukitoka town, on your way to Sirare/Isebania
 
Nimecheza mpira hapo migori teachers college kombe la trust ilikuwa mipira y kiume tukawa washindi wa pili kisha tukaenda chuo cha kamagambo cha wasabato tukapiga match na kuwa wa pili tukapiga hela kama zote

Mazingira ya migori hasa ukiwa unapita barabara kilipo kiwanda cha sukari ni kijani kwa mwaka mzima

Watoto wa kenya weusi wazuri na wanapenda sana wanaume kutoka Tanzania nilipiga kamoja kalinifuata tarime .

Wah! You know this place really well. Yes, familia ya Okwanyo ni wasabato na pia ni kweli kijana wake alikuwa diwani. Sadly huyo diwani aliaga mwaka wa 2008. Misiba za huku huchukua hata wiki tatu [emoji23]. Sounds funny I know.

Yes, total petrol station iko karibu na Migori primary ila hazijakaribiana sana. Migori primary inakaribiana na Migori Teachers College then Total iko roughly 500 meters upande wa juu ukitoka town, on your way to Sirare/Isebania
 
Mipaka ya mzungu iliharibu mambo mengi sana kama haya ya kuyagawa makabila nusu nusu
 
Watoto wa kenya weusi wazuri na wanapenda sana wanaume kutoka Tanzania nilipiga kamoja kalinifuata tarime .
Boss acha kuanzisha mijadala yenye lengo la kuleta mabishano yasiyo na maana, Uzi huu ni miongoni mwa nyuzi top 3 humu ambazo wakenya na tz tunachangia vitu positively.

Mapenzi hayanaga ukabila wala mipaka, mkenya anaweza kupendwa na mtz, mtz anaweza kupendwa na mkenya, mzungu anaweza kupenda mzambia, n.k. as simple like that
 
Wah! You know this place really well. Yes, familia ya Okwanyo ni wasabato na pia ni kweli kijana wake alikuwa diwani. Sadly huyo diwani aliaga mwaka wa 2008. Misiba za huku huchukua hata wiki tatu 😂. Sounds funny I know.

Yes, total petrol station iko karibu na Migori primary ila hazijakaribiana sana. Migori primary inakaribiana na Migori Teachers College then Total iko roughly 500 meters upande wa juu ukitoka town, on your way to Sirare/Isebania
Missed those old days. Ila my friend chunga sana those areas, Aids iko mingi sana, i mean Lake zone, from Tanzania to Migori, Awendo, Homabay, Karachuonyo, mpaka Kiaumu. Hata Kijana wa Okwanyo Watu walikuwa gossip kuwa hata Wanakwaya wanaimba ila miongoni mwao wana majonzi kwa kuwa walikuwa in cycle!
 
Nadhani wakikuyu ndio kila December ni lazima warudi nyumbani huko kwao kusherekea xmass na mwaka mpya mm naamini kenya hamna wachaga ila kuna kabila lina sifa zote za wachaga

Hapa Kenya ni desturi ya wengi wetu kwenda vijijini musimu wa Krisimasi, huwa tunakwenda kuchinja mbuzi na kujumuika na ndugu zetu huko, ila kunao wengine hutumia hii fursa kutalii nchi yetu na pia kusafiri hadi Zanzibar na Arusha. Yaani kwamba mwaka mzima unajituma kikazi kisha ikifika Krisimasi unajiachia full bata.
Kwetu hamna jamii ya Wachagga ila kunao wajasiria mali maelfu ya maelfu wa kutokea jamii hiyo waliozagaa kote wanaojituma balaa kwenye mishe zao katika kila pembe za nchi hii, na ikifika Krisimasi huwa tunawaona wote wakiondoka kurudi kwao huko Kilimanjaro.
 
Nimecheza mpira hapo migori teachers college kombe la trust ilikuwa mipira y kiume tukawa washindi wa pili kisha tukaenda chuo cha kamagambo cha wasabato tukapiga match na kuwa wa pili tukapiga hela kama zote

Mazingira ya migori hasa ukiwa unapita barabara kilipo kiwanda cha sukari ni kijani kwa mwaka mzima

Watoto wa kenya weusi wazuri na wanapenda sana wanaume kutoka Tanzania nilipiga kamoja kalinifuata tarime .
Awendo sugarbelt ni kijani mwanzo mwisho. Sugarcane plantations line both sides of the road from Ranen all the way to Kakrao, a few kilometers from Migori town.

Kumbe wewe ni mwanasoka!
 
Nasikia wapare na shilingi ni zaidi ya chanda na pete. Eti na wanawazidi hata watu wa Nyumba ya Mumbi. Ndio huyu hapa mpare baada ya kudondosha 'coin'. [emoji38]
1fe7c77db4cfb9c75259ea87e512472b.jpg
Mshana Jr njoo ujibu mashtaka.
Haha! 🤣🤣 nimejikuta nacheka sana hadi watu wananishangaa. Dah pingli-nywee huendi mbinguni aisee!😂😂 ...

CC Mshana Jr
 
Back
Top Bottom