Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

Dah, mkiendelea kudadavua mnaweza kujikuta kumbe ni jamaa moja mmechangia ukoo, au mmeoleana...
 
Kumbe you schooled in my home county! I attended many school functions at Isebania during my high school days. I know that place quite well.

A point of correction though. Chacha, Marwa and Mwita are not kisii names. Those are Kuria names.
Given to first born only
 
Boss wewe ukiingia JamiiForums ulikuwa unaongea sheng tu. Hukuwa unaweza kuconstruct sentence hata moja ya Kiswahili. I am happy to see the transformation. Haha. Hata mimi I was just the same nikiingia huku.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kiswahili tunaielewa but Sheng' ndio tumezoea Kenya.
 
Mkikuyu kupenda pesa ni kama mchaga mm nasema hakuna kabila la wachaga kenya ila kuna makabila yabafanana desturi kama mluhya anapenda ugali na msukuma yuko ivyo
 
Kumbe you schooled in my home county! I attended many school functions at Isebania during my high school days. I know that place quite well.

A point of correction though. Chacha, Marwa and Mwita are not kisii names. Those are Kuria names.
Proud alumni of Kanga High SSchool😀😀
 
Mkikuyu kupenda pesa ni kama mchaga mm nasema hakuna kabila la wachaga kenya ila kuna makabila yabafanana desturi kama mluhya anapenda ugali na msukuma yuko ivyo

Hivi leo hii nani hana mahaba na pesa, sio tena kama ilivyokua kitambo, dunia ya leo kila mtu anafata hela kichizi, nenda kwa Wazaramo au Wagogo ujaribu kucheza na hela yao kisa unawachukulia poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…