Wakenya, ni mjinga pekee ndiye anaharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy
 
Mkuu umekosea unamanisha wa Kenya au Watanzania?
 
Niliona Gen Z wanachoma gari moto... Nikasikitika sana kwanini wanafanya huo ujinga... Baadae nikapata taarifa walichoma hayo magari yalikuwa ya wasomali ambao waliwaua Gen Z wawili, wenzao waloposikia wakarudi wakachoma magari ya wasomali na kuharibu mgahawa...

Safi sana, tunahitaji vijana kama hao.
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy
Mkuu hamna mapunduzi yasio kua na gharama, we endelea na kutunza mali za mafisadi ukifikiri kwamba utaona madiliko.
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy
wana akili sana kuliko unavyo fikiria...

haya unayoyaona ni mipango na kuna nchi zitatoa hela za kutosha kenya itapata kukopeshwa pes nyingi sababu ya hizi vurugu maana bila hivyo wangepata tabu saana kuendesha nchi madeni ni mengi!

ila kupitia maandamano haya kwanza naona matajiri wengi wa kenya hawataitaka siasa tena kenya na wataokuwa madarakani hawata wadharau tena wananchi heshima inajegwa kwa mbilinge mbilinge kama hilo..nchi zote duniani zilizoendelea na tunazozisifia sasa hivi kidemocrasia zilipitia tanuri la moto kama kenya..

mimi binafsi nawasifu sana vijana wa kenya wametuwakilisha vyema east africa na ni hakika kwenye vikao vya viongozi wetu ikulu huko wamekwisha kuonyana kwa yale yanayotokea kenya.!
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy
Palestina Vipi?
 
Niliona Gen Z wanachoma gari moto... Nikasikitika sana kwanini wanafanya huo ujinga... Baadae nikapata taarifa walichoma hayo magari yalikuwa ya wasomali ambao waliwaua Gen Z wawili, wenzao waloposikia wakarudi wakachoma magari ya wasomali na kuharibu mgahawa...

Safi sana, tunahitaji vijana kama hao.
Boss una support violence 😧 😧
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy
Iko hivii usiwe chawa wao,wewe rudi nyumbani chawa wamenoga wao waachie yao huenda wanajua wafanyalo.
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy
Kwenye kujenga hamuwaambii wananchi kinachojenga ni hela zao bali huwadanganya “Samia atoa bill 1.7 kujenga uwanja“ wakiziharibu mnawarudishia mkiwaona hawana akili.

Hapo asiyekuwa na akili nani,anayejimilikisha hela za wananchi akizitoa asifiwe au waliozitoa kama kodi kwa ajili ya maendeleo yao?wanasiasa hamna maana kabisa
 
Back
Top Bottom