Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mkuu umekosea unamanisha wa Kenya au Watanzania?Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
WakenyaMkuu umekosea unamanisha wa Kenya au Watanzania?
Hao wanao pinga matumizi mabaya ya kodi yao, au hawa walioko Tanzania?Wakenya
Mkuu hamna mapunduzi yasio kua na gharama, we endelea na kutunza mali za mafisadi ukifikiri kwamba utaona madiliko.Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
wana akili sana kuliko unavyo fikiria...Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Palestina Vipi?Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Boss una support violence 😧 😧Niliona Gen Z wanachoma gari moto... Nikasikitika sana kwanini wanafanya huo ujinga... Baadae nikapata taarifa walichoma hayo magari yalikuwa ya wasomali ambao waliwaua Gen Z wawili, wenzao waloposikia wakarudi wakachoma magari ya wasomali na kuharibu mgahawa...
Safi sana, tunahitaji vijana kama hao.
Wanaharibu magari ya watu binafsi,wanavunja biashara za watu na kuiba mali,burning and looting,Wakenya wana akili sana, wanajua hivyo vitu wanavyoharibu thamani yake ni ndogo ukilinganisha na mapesa mengi wanayokula wanasiasa wa serikali ya Ruto.
Serikali inapoambiwa na boss wake isipotishe finance bill, halafu makusudi wanapitisha, ndipo nataka ueleze ni wananchi wanataka violence serikali?Boss una support violence 😧 😧
Iko hivii usiwe chawa wao,wewe rudi nyumbani chawa wamenoga wao waachie yao huenda wanajua wafanyalo.Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.
Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.
Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.
Haeleweki mwenye nguvu ni nani.
That's not democracy
Kwenye kujenga hamuwaambii wananchi kinachojenga ni hela zao bali huwadanganya “Samia atoa bill 1.7 kujenga uwanja“ wakiziharibu mnawarudishia mkiwaona hawana akili.Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.