Wakenya: Samia, sisi si kama watanzania, hatuogopi Ruto, si boss wetu. Kenya inahitaji mazuri zaidi ya Ruto

Wakenya: Samia, sisi si kama watanzania, hatuogopi Ruto, si boss wetu. Kenya inahitaji mazuri zaidi ya Ruto

Pakistan n
halafu huyo wa mwisho ndiyo yuko responsible na elimu ya tanzagiza, i.e future ya watoto wetu kielimu iko chini yake, swali ambalo sijapata jibu lake mpaka leo hii kwa nini ktk wizara zoote ampe ya elimu ambayo ni technical na inahitaji mwenye elimu? ...

btw cv ya waziri wa elimu afghstani Sheikh Hadith Maulvi Habibullah Agha Sab (talibani) huyo shehe ndiyo yuko responsible na elimu yote ya nchi ya afghstan. chanzo wikipedia

Habibullah Agha was born in Vach Bakhto, Shah Wali Kot, Kandahar in 1954 or 1955. He received basic Islamic education in his village. Agha continued his higher Islamic education in Pakistan
jamhur ya kiislam kwa cv yake naweza kuwaelewa

Lakn kwa bongolala hapa Hilo haliwezekan katuuuu
 
Pakistan n

jamhur ya kiislam kwa cv yake naweza kuwaelewa

Lakn kwa bongolala hapa Hilo haliwezekan katuuuu

unajuaje kama haliwezekani? mbona islamic sharia banking imewezekana na inafanya kazi? kwa nini mengine yashindikane? isitoshe unajua ni mambo mangapi yameshabadlishwa kuendana na islamic sharia bila hata yoyote ku-notice chochote? au unafikiri rationale ya kumuweka mtoto wake wizara ya elimu ambapo hana ujuzi au uzoefu wowote na mambo ya elimu ni ipi? kwa nini wizara ya elimu na hapo hapo tayari wameshabalisha mtaala, je, unafikiri haya yote yanatokea tu kwa wakati mmoja bila ya sababu? unajua kilichomo kwenye hiyo curriculum mpya? ...
 
Back
Top Bottom