Wakenya sio watu wa kuaminika, wavunja makubaliano ya amani na Uganda

Wakenya sio watu wa kuaminika, wavunja makubaliano ya amani na Uganda

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Si zaidi ya wiki mbili zilizopita, mawaziri wa uchukuzi wa Kenya na Tanzania walifikia makubaliano ya kuheshimu "Certificates" zinazotolewa na nchi hizi mbili ili kuruhusu madereva kuingia katika nchi husika, Kenya walikataa kutekeleza maelekezo ya viongozi wao wakuu na kukataa kuyaheshimu makubaliano hayo jambo lililosababusha Tanzania kufunga mpaka wake na Kenya hadi sasa.

Tabia hii ya Kenya ya kutoheshimu makubaliano ni dalili ya wazi ya udhahifu wa Serikali ya Kenya kushindwa kusimamia maazimio na maamuzi ya viongozi wao.

Baada ya miaka mingi ya mauaji na vita kati ya jamii zinazoishi mipakani mwa Kenya na Uganda, rais M7 na Uhuru walitia saini makubaliano ya kusimamisha uhasama na kukubaliana kwamba kila nchi iwapokonye silaha wananchi wao wanaohishi mipakani, Uganda ilifanikiwa kuwanyang'anya lakini Kenya kama kawaida ilishindwa kufanya hivyo, hatimaye wamevuka mpaka na kushambulia kambi ya UPDF na kuua mwanajeshi mmoja. Hiyo ndio Kenya tunayoijua.

R.I.P mjeshi

---

9317d1002eae95fc1b9120ef49c4e2f3

Diplomatic ties between Nairobi and Kampala could be at stake after herders from Kenya entered into Uganda at night and raided a military camp.

The armed herdsmen from the Turkana community crossed into Uganda and attacked a Uganda People's Defence Force (UPDF) camp in the northern part of the country.

12a37fe86b618a89a221217e14955d3a

The Thursday night retaliatory attack left one UPDF soldier and three herders dead.

According to Turkana Governor Josphat Nanok, the members of his community crossed over to Uganda to take back their herd of cattle that was stolen last week from Olpoit village in Turkana West.

While condemning the act, Nanok said the herders attacked the military camp to drive back the over 300 cows which had been detained at the security facility.

The county boss termed the attack as a serious issue that was likely to jeopardize the strong ties between Kenya and Uganda.

"We strongly condemn the act of attacking Uganda army. Attacking a military camp is akin to attacking a state house where president resides. It is a very serious issue," Nanok said.

Speaking to Citizen TV on Saturday, he regretted the raid could cause bad blood between Turkanas and the Karamojong community in Uganda, after co-existing peacefully for some years.

"About 5 or 6 years ago we entered into a peace agreement with Karamojongs and we have been living as good neighbours. Even when we had drought we took our cows to Karamajongs and they stayed there for a long time," the Governor recalled.

"Right now we don't know what President Uhuru Kenyatta will talk about with Uganda's President Yoweri Museveni after a few people attacked his army," Nanok added.

During Uhuru's 2013 swearing in, Museveni reported that Pokot pastoralists from Kenya were crossing into Uganda and stealing cattle.

" …on a light note, ambia watu wa West Pokot waache kuiba ng’ombe zangu (tell the people of West Pokot to stop stealing my cattle)’’ he said jokingly.

In 2019, Museveni and Uhuru signed a peace pact aimed at ending cross-border conflicts along the border of Kenya and Uganda.
The historic signing was meant to end cross border conflict between Turkana, pokot and Karamojong communities.

Tension High as Kenyan Herders Attack Ugandan Military Camp, Kill 1 Soldier and Take Away Cows
 
Kuhusu tendo la kushambulia kambi ya jeshi hapo wamekosea sana.

Lknkm ungelisoma poa, wala hungeliandika km serikali ya uganda imefanikiwa kuwapokonya jamaa wao wote silaha.
Manake hao wajuba walivuka uganda na mission moja tu, kwenda kuchukua mifugo yao iliyoporwa hv majuma yaliyopita km sijakosea.
 
Kuhusu tendo la kushambulia kambi ya jeshi hapo wamekosea sana.
Lknkm ungelisoma poa, wala hungeliandika km serikali ya uganda imefanikiwa kuwapokonya jamaa wao wote silaha..
Manake hao wajuba walivuka uganda na mission moja tu, kwenda kuchukua mifugo yao iliyoporwa hv majuma yaliyopita km sijakosea..
Makubaliano yalikua ni kwamba kukitokea uhalifu, hizo nchi zishirikiane sio kuvuka mipaka na kulipiza kisasi, tayari Serikali ya Uganda ilishazikamata hizo Ng'ombe na zilikua chini ya ulinzi wa hao wanajeshi zikisubiri maelekezo toka kwa viongozi ili zirudishwe.

Ninyi wakenya tatizo hamna nidhamu wala maadili, hamfuati sheria wala kutii amri za viongozi wenu, ni vigumu sana kuishi kwa amani na majirani wenu hata wenyewe kwa wenyewe.
 
Makubaliano yalikua ni kwamba kukitokea uhalifu, hizo nchi zishirikiane sio kuvuka mipaka na kulipiza kisasi, tayari Serikali ya Uganda ilishazikamata hizo Ng'ombe na zilikua chini ya ulinzi wa hao wanajeshi zikisubiri maelekezo toka kwa viongozi ili zirudishwe,

Ninyi wakenya tatizo hamna nidhamu wala maadili, hamfuati sheria wala kutii amri za viongozi wenu, ni vigumu sana kuishi kwa amani na majirani wenu hata wenyewe kwa wenyewe.
Wewe huna maadili, huna nidhamu na najua hufuati Sheria na Mara nyingi hielewi ripoti unazoweka hapa. Dunia mzima the only people you joto la jiwe can communicate with outsize Tz ni Wakenya tu. We are dear to you otherwise Kama Wakenya hatungetumia Kiswahili, ungekuwa unapiga kelele tu hapo Ufipa.
 
joto la jiwe,

Si ukuje Kenya uwapokonye silaha kama wewe ni mwanaume kamili. Hapana lia lia kwenye mtandao. Hao ni moto wa kuotea mbali. Wakizidi polisi nguvu huwa tunawatumia wanajeshi wetu wakawatulize hasira, maana hawa lugha wanayoelewa ni ya risasi tu.
 
I pity and sympathize with kenyans the repercussions will be extremely vehement if not pandemic. The Banzukulu soldiers are extremely deadly like a rattle snake.
Sasa kama Waturkana pekee ambao ni raia wa kawaida wanafanya mnanyamba nyamba, je jeshi letu tukufu?
 
joto la jiwe,
Tusipolipiza mapigo unatuita "waoga". Uganda walichukua Migingo tukanyamaza ukatutusi na kutuita waoga. Sasa kwa mazoea, Uganda tena imekuja kuiba lakini kwa bahati mbaya wakaguza mzinga wa nyuki. Wakadonwa na nyuki, sasa umeanza kulia. Unataka nini? Tusipolipiza kisasi, sisi ni waoga, tukilipiza kisasi, sisi hatujui kuishi na jirani zetu. Unataka tufanye nini?
 
Si ukuje Kenya uwapokonye silaha kama wewe ni mwanaume kamili. Hapana lia lia kwenye mtandao. Hao ni moto wa kuotea mbali. Wakizidi polisi nguvu huwa tunawatumia wanajeshi wetu wakawatulize hasira, maana hawa lugha wanayoelewa ni ya risasi tu.

Mkuu mimi ningependa kujua, Hivi hizo silaha huwa wanazipata wapi? Maana naona hakuna boma ambalo linakosa SMG au AK zaidi ya 2. Hivyo umiliki wa silaha uko juu sana area hiyo. Huwa wana vibali vya kumiliki hizo silaha?

Utaratibu wa kumiliki silaha kwa nchi yenu ukoje?
 
Hao ni vichwa ngumu kupita maelezo. Waturkana na Wapokot wamenyang'anywa silaha mara nyingi kuanzia miaka ya 1980's lakini bado wananunua silaha. Nadhani wanazipata kutoka Ethiopia na South Sudan maana hizi nchi mbili zina silaha nyingi tu. Hawa Waturkana kuna siku waliua Polisi wa GSU 42 kwa siku moja. Aisee ilibidi tuwatumie jeshi la angani faster kuwatuliza hasira. Pia tukawatumia jeshi la ardhini kuongea nao kwa lugha wanayoelewa ya marisasi.
 
Mkuu mimi ningependa kujua, Hivi hizo silaha huwa wanazipata wapi? Maana naona hakuna boma ambalo linakosa SMG au AK zaidi ya 2. Hivyo umiliki wa silaha uko juu sana area hiyo. Huwa wana vibali vya kumiliki hizo silaha?

Utaratibu wa kumiliki silaha kwa nchi yenu ukoje?
Hawana vibali
 
Hawa majamaa wanafanyia polisi timing. Yaani wanapanda juu kwenye milima halafu wanangojea malori ya polisi yapite kisha wanayamiminia marisasi. Na wana shabaha kama sniper tu. Hawa kuwapokonya itabidi watumiwe battalion kama tatu na fighter jet nne ndio mkae chini mjadili kama inawezekana wao kusalimisha silaha. Serikali lazima iwe tayari kupoteza wanajeshi kadhaa katika mazungumzo haya ya wanaume kamili waliobobea.
Duh... sio mchezo. Inaelekea ni ngumu sana ku-maintain order pande hizo hao jamaa wakichafukwa roho.

Yafaa muweke vikosi vya kueleweka huko mpakani kuzuia smuggling ya hizo silaha.
 
Hawa majamaa wanafanyia polisi timing. Yaani wanapanda juu kwenye milima halafu wanangojea malori ya polisi yapite kisha wanayamiminia marisasi. Na wana shabaha kama sniper tu. Hawa kuwapokonya itabidi watumiwe battalion kama tatu na fighter jet nne ndio mkae chini mjadili kama inawezekana wao kusalimisha silaha. Serikali lazima iwe tayari kupoteza wanajeshi kadhaa katika mazungumzo haya ya wanaume kamili waliobobea.
Border ni kubwa sana haiwezi kudhibitiwa. Lazima silaha zitapita tu.
 
Kuhusu tendo la kushambulia kambi ya jeshi hapo wamekosea sana.

Lknkm ungelisoma poa, wala hungeliandika km serikali ya uganda imefanikiwa kuwapokonya jamaa wao wote silaha..
Manake hao wajuba walivuka uganda na mission moja tu, kwenda kuchukua mifugo yao iliyoporwa hv majuma yaliyopita km sijakosea..
Utavukaje mpaka wa nchi nyingine na silaha hata kama kuna uhalifu?

Wavuke huku wakirudi alhamudulilah walah. Yatarudi majina yaliyoongezeka yakianza na Marehemu.
 
Utavukaje mpaka wa nchi nyingine na silaha hata kama kuna uhalifu?
Wavuke huku wakirudi alhamudulilah walah. Yatarudi majina yaliyoongezeka yakianza na Marehemu....
Usicheze na hawa watu. Hawa sio mashoga wanaozunguka Dar. Hawa ni watu wanaanza kubeba bunduki wakiwa na miaka kumi tu
 
Utavukaje mpaka wa nchi nyingine na silaha hata kama kuna uhalifu?
Wavuke huku wakirudi alhamudulilah walah. Yatarudi majina yaliyoongezeka yakianza na Marehemu....
Wewe hata hujui kinachoendelea baina ya hzo jamii mbili mpakani..
Kwhyo nitakuachia hapo tu!!manake hta ukiambiwa ukasome historia uvivu utakusumbua
 
Back
Top Bottom