Wakenya sio watu wa kuaminika, wavunja makubaliano ya amani na Uganda

Makubaliano yalikua ni kwamba kukitokea uhalifu, hizo nchi zishirikiane sio kuvuka mipaka na kulipiza kisasi, tayari Serikali ya Uganda ilishazikamata hizo Ng'ombe na zilikua chini ya ulinzi wa hao wanajeshi zikisubiri maelekezo toka kwa viongozi ili zirudishwe,

Ninyi wakenya tatizo hamna nidhamu wala maadili, hamfuati sheria wala kutii amri za viongozi wenu, ni vigumu sana kuishi kwa amani na majirani wenu hata wenyewe kwa wenyewe.
We mwnywe nadhani akili za wafugaji unazitambua vizuri, hao sio watu wakuwaambia wasubiri ndani ya mrefu, subra ndio hawana
 
Hawa majamaa wanafanyia polisi timing. Yaani wanapanda juu kwenye milima halafu wanangojea malori ya polisi yapite kisha wanayamiminia marisasi. Na wana shabaha kama sniper tu. Hawa kuwapokonya itabidi watumiwe battalion kama tatu na fighter jet nne ndio mkae chini mjadili kama inawezekana wao kusalimisha silaha. Serikali lazima iwe tayari kupoteza wanajeshi kadhaa katika mazungumzo haya ya wanaume kamili waliobobea.
Kweli kunyaland hakuna defence force kabisa.Yiu will never such a non sense in Tanzania
 
Shida ni kuvuka mpaka
Wamekuwa wakivuka kwa miaka nyingi na wataendelea kuvuka. Hivyo ndivyo mambo huwa. Ukiwaibia ng'ombe watakuja na bunduki hadi kwako na kukutoa chini ya kitanda kwa mateke na mangumi. Sasa Waganda wameenda kuwaibia ng'ombe. Wacha Waganda walimwe tu.
 
Hawa majamaa wanafanyia polisi timing. Yaani wanapanda juu kwenye milima halafu wanangojea malori ya polisi yapite kisha wanayamiminia marisasi. Na wana shabaha kama sniper tu. Hawa kuwapokonya itabidi watumiwe battalion kama tatu na fighter jet nne ndio mkae chini mjadili kama inawezekana wao kusalimisha silaha. Serikali lazima iwe tayari kupoteza wanajeshi kadhaa katika mazungumzo haya ya wanaume kamili waliobobea.
We jamaa unasemaje? Hivi mna jeshi au mna wana mgambo ? Yaani mtumia air brigade kunyang'anya siraha aisee....jeshi lenu ni dhaifu kiasi hicho
 
Wapo ndani ya misitu. Wewe wacha kuringa huku rebels wa Congo walikuwa wanawafanyia mashambulizi kwa kutumia panga tu. Hivi Ak47 unadhani ni jembe? Hebu heshimu adui yako.
 
We mwnywe nadhani akili za wafugaji unazitambua vizuri, hao sio watu wakuwaambia wasubiri ndani ya mrefu, subra ndio hawana
Ni kweli wafugaji huwa wakorofi duniani kote hata hapa tz kuna miaka wasukuma hasa maeneo ya simiyu na wamasai walifikia kiwango cha kutengeneza bunduki kukabiliana sababu ya kuibiana mifugo nadhani serikali iliwahi kuidhibiti hali hii mapema.
 
Wapo ndani ya misitu. Wewe wacha kuringa huku rebels wa Congo walikuwa wanawafanyia mashambulizi kwa kutumia panga tu. Hivi Ak47 unadhani ni jembe? Hebu heshimu adui yako.
Sababu kubwa Kenya kuwekwa katika kundi la "Failed states" ni kushindwa kudhibiti usalama ndani ya mipaka yake, haiwezikani nchi ishindwe kuwadhibiti raia wake.

Ni jambo la kushangaza kuona Serikali inajua kwamba kuna watu wanamiliki silaha kinyume cha sheria na hawachukiliwi hatua za kuwanyang'anya hizo silaha, Mimi sijawahi sikia nchi yoyote zaidi ya Kenya na South Sudan.

Uganda wamefanikiwa sana kuwanyang'anya silaha jamii ya Karamoja ambao walikua wanapigana na Turkana na Pokots kama mkataba wa Amani wa Kenya na Uganda ulivyotaka, ila Kenya kama kawaida yenu mumeshindwa kuwanyang'anya hao waturkana badala yake mnatoa sababu zilezile kama mnazotoa mliposhindwa na Alshabaab.

Eti Alshabaab sio rais kuwashinda kwasababu wao hawaogopi kufa, Mara mnasema wanachanganyika na raia, Mara mnasema sio jeshi rasmi. Sasa hivi mnasema Turkana wanashabaha sana, Mara mnasema wanachezea silaha tangu utotoni, hivi Kenya ni nchi ya aina gani?
 
Hahaha si ni kweli. Kwani ni uongo? Hawa watu ni hatari sana. Halafu hao Karamoja kama wamepokonywa silaha walifanikiwa vipi kuvuka mipaka na kuiba ng'ombe ya Waturkana bila silaha? Lazima walitumia silaha. Tusidanganyane kuwa unaweza kuibia Waturkana ng'ombe bila silaha ilhali wao wenyewe wana silaha.
 
Tuongee tulicho na facts nacho vingine tuache kbsa, karamoja isn't at peace, M7 used them to impoverish Lango and Teso people, u know with cowards/pigs, he could not manage Uganda without Karamajongs, Speaking of Turkanas and Pokots, these are battalions of qualified snipers, no foolish from we neighbors can talk sense on this Geopolitical cross-border ethnic mighty battles. For them thay do smarsh and clean, not killing like trained pigs in army uniforms. If you have not fought in jungles and extremely impenetrable hilly areas shut up. The ungraded field Marshalls are countless in Turkana. My worry is Banzukulu use of choppers and blooded ground tormentors, they had some world class cleaning in central Africa republic.
 
Hakuna Taifa lolote linaloshindwa kuwadhibiti raia wake, labda "Failed state". Hivi inakuingiaje akili kweli nchi inajua kwamba kuna jamii Fulani au kikundi cha watu kinamiliki silaha za kivita na hakuna hatua zozote zinazochuliwa ili kuwanyang'anya hizo silaha, taja nchi yoyote zaidi ya DRC, SS, Somalia na Kenya.

Hao Karamoja waliokuja ni wale ambao hawajulikani kama wanasilaha, kumbuka hata huku Tanzania bado kuna watu wanazo silaha, lakini Serikali haijui, ila Serikali ikijua, lazima wataifuata na kuichukua. Hata hao Karamoja ni miongoni mwa wale wachache ambao wamezificha na Serikali ya Uganda haijui, ikitokea wizi kama huo, lazima Serikali ya Uganda watazifuatilia hizo silaha ili wazichukue.

Tofauti na Kenya ni kwamba, Kenya mnajua jamii zenye silaha lakini mnaogopa kwenda kuzichukua, yaani Serikali inaogopa raia wake?, kweli Kenya ni Failed state
 
Hivi hizo silaha za kivita hao jamaa wanazitolea wapi?

Wanazimiliki kisheria au?

Maana huchunga wakiwa nazo begani mchana kweupe?
 
Tusipolipiza mapigo unatuita "waoga". Uganda walichukua Migingo tukanyamaza ukatutusi na kutuita waoga. Sasa kwa mazoea, Uganda tena imekuja kuiba lakini kwa bahati mbaya wakaguza mzinga wa nyuki. Wakadonwa na nyuki, sasa umeanza kulia. Unataka nini? Tusipolipiza kisasi, sisi ni waoga, tukilipiza kisasi, sisi hatujui kuishi na jirani zetu. Unataka tufanye nini?
Shiiiiiii subiri mwaka aujahisha bado
 
ni kweli wafugaji huwa wakorofi duniani kote hata hapa tz kuna miaka wasukuma hasa maeneo ya simiyu na wamasai walifikia kiwango cha kutengeneza bunduki kukabiliana sababu ya kuibiana mifugo nadhani serikali iliwahi kuidhibiti hali hii mapema
Ndio hvo mkuu, wale jamaa wanathamini sana midugo yao hata kuliko binadamu wenzao
 
Hahaha si ni kweli. Kwani ni uongo? Hawa watu ni hatari sana. Halafu hao Karamoja kama wamepokonywa silaha walifanikiwa vipi kuvuka mipaka na kuiba ng'ombe ya Waturkana bila silaha? Lazima walitumia silaha. Tusidanganyane kuwa unaweza kuibia Waturkana ng'ombe bila silaha ilhali wao wenyewe wana silaha.
Shida yake anataka ku force eti uganda walifanikiwa kuwapokonya silaha raia wake
 
Hakuna Taifa lolote linaloshindwa kuwadhibiti raia wake, labda "Failed state". Hivi inakuingiaje akili kweli nchi inajua kwamba kuna jamii Fulani au kikundi cha watu kinamiliki silaha za kivita na hakuna hatua zozote zinazochuliwa ili kuwanyang'anya hizo silaha, taja nchi yoyote zaidi ya DRC, SS, Somalia na Kenya.

Hao Karamoja waliokuja ni wale ambao hawajulikani kama wanasilaha, kumbuka hata huku Tanzania bado kuna watu wanazo silaha, lakini Serikali haijui, ila Serikali ikijua, lazima wataifuata na kuichukua. Hata hao Karamoja ni miongoni mwa wale wachache ambao wamezificha na Serikali ya Uganda haijui, ikitokea wizi kama huo, lazima Serikali ya Uganda watazifuatilia hizo silaha ili wazichukue.

Tofauti na Kenya ni kwamba, Kenya mnajua jamii zenye silaha lakini mnaogopa kwenda kuzichukua, yaani Serikali inaogopa raia wake?, kweli Kenya ni Failed state
unataka silaha zao zichukuliwe wajilinde vipi? mipaka ya kenya na Ethiopia na South Sudan ni mikubwa .. kabila kutoka upande huo mwingine wa mpaka zitakuwa zinawashambulia ovyo ovyo... Serikali inashughulika tu WaKenya wakianza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe..
 
Tuongee tulicho na facts nacho vingine tuache kbsa, karamoja isn't at peace, M7 used them to impoverish Lango and Teso people, u know with cowards/pigs, he could not manage Uganda without Karamajongs, Speaking of Turkanas and Pokots, these are battalions of qualified snipers, no foolish from we neighbors can talk sense on this Geopolitical cross-border ethnic mighty battles. For them thay do smarsh and clean, not killing like trained pigs in army uniforms. If you have not fought in jungles and extremely impenetrable hilly areas shut up. The ungraded field Marshalls are countless in Turkana. My worry is Banzukulu use of choppers and blooded ground tormentors, they had some world class cleaning in central Africa republic.
Duh...si kwa sifa hizo..waingizeni jeshini Sasa..alafu muwape hicho kipande watawale
 
Back
Top Bottom