MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Nimefuatilia ripoti ya mbunge wa Tanzania anayeitwa Zitto Kabwe, ameeleza neno kwa neno jinsi hela ndefu sana (Tshs 1.5 trillions au Kshs 68 billions) zimechezwa Tanzania. Anaeleza jinsi wamelipa madeni hewa na ukiukwaji wa hatua zote za shria za manunuzi.
Sasa binafsi kuna siku nilikua nawaza labda rais Uhuru aache kusubiri taasisi za kupambana na ufisadi, amuige Magufuli na kufanya zile show za kutembea na wanahabari na kushtukiza shtukiza watu maofisini, labda zitapunguza ufisadi Kenya, kila siku akiamka awe anawaza leo atshtukiza wapi.
Lakini kwa hayo yanayotokea Tanzania, ni wazi huo mfumo wa kuwaibukia ibukia watu maofisini sio suluhu, mwafrika ni mfupa uliomshinda fisi, haachi asili ya kifisadi hata upige makelele vipi. Nchi maskini halafu unaitapeli 1.5 trillion, utawaacha mifupa wazi.
Zitto Kabwe ameeleza kwenye huu uzi hapa Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa