Wakenya tunajifunza nini kutokana na taarifa kwamba mafisadi wamechota 1.5 trillions Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Nimefuatilia ripoti ya mbunge wa Tanzania anayeitwa Zitto Kabwe, ameeleza neno kwa neno jinsi hela ndefu sana (Tshs 1.5 trillions au Kshs 68 billions) zimechezwa Tanzania. Anaeleza jinsi wamelipa madeni hewa na ukiukwaji wa hatua zote za shria za manunuzi.

Sasa binafsi kuna siku nilikua nawaza labda rais Uhuru aache kusubiri taasisi za kupambana na ufisadi, amuige Magufuli na kufanya zile show za kutembea na wanahabari na kushtukiza shtukiza watu maofisini, labda zitapunguza ufisadi Kenya, kila siku akiamka awe anawaza leo atshtukiza wapi.
Lakini kwa hayo yanayotokea Tanzania, ni wazi huo mfumo wa kuwaibukia ibukia watu maofisini sio suluhu, mwafrika ni mfupa uliomshinda fisi, haachi asili ya kifisadi hata upige makelele vipi. Nchi maskini halafu unaitapeli 1.5 trillion, utawaacha mifupa wazi.

Zitto Kabwe ameeleza kwenye huu uzi hapa Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa
 
Hakuna fisadi aliyechota 1.5 trillion. Kwenye report ya CAG hakuainisha:
1. Manunuzi ya ndege
2.Ujenzi wa majengo ya serikali unaoendelea Dodoma.
3. Ununuzi wa Rada
4. Ujenzi wa majengo ya Magereza na Magomeni Kota
5. Ununuzi wa vichwa vipya vya treni.
Nipesa ambayo haikuanishwa kwenye report ya CAG lakini îmetumika kwa masilai ya nchi.
CAG amesema pesa ilitumika katika maeneo mengine ya serikali.
Wapinzani wanatafuta pakushika.
 
utetezi mwingine ni wa kipuuzi sana hasa kama huu,
 
Nimefuatilia ripoti ya mbunge wa Tanzania anayeitwa Zitto Kabwe, ameeleza neno kwa neno jinsi hela ndefu sana (Tshs 1.5 trillions au Kshs 68 billions) zimechezwa Tanzania. Anaeleza jinsi wamelipa madeni hewa na ukiukwaji wa hatua zote za shria za manunuzi.

Sasa binafsi kuna siku nilikua nawaza labda rais Uhuru aache kusubiri taasisi za kupambana na ufisadi, amuige Magufuli na kufanya zile show za kutembea na wanahabari na kushtukiza shtukiza watu maofisini, labda zitapunguza ufisadi Kenya, kila siku akiamka awe anawaza leo atshtukiza wapi.
Lakini kwa hayo yanayotokea Tanzania, ni wazi huo mfumo wa kuwaibukia ibukia watu maofisini sio suluhu, mwafrika ni mfupa uliomshinda fisi, haachi asili ya kifisadi hata upige makelele vipi. Nchi maskini halafu unaitapeli 1.5 trillion, utawaacha mifupa wazi.

Zitto Kabwe ameeleza kwenye huu uzi hapa Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa
mkuu MK254, kuna tofauti kubwa kati ya mkenya na mtanzania hasa jinsi tunavyotazama utendaji kazi wa serikali..........

sisi hapa kwetu bongoland kiongozi akifanya ufisadi hua tunajitoa ufahamu na kumtetea kwa nguvu zote kuhalalisha kile amefanya, sisi ni watiifu kwa vyama vyetu na sio kwa taifa letu....... ndio maana hili taifa kiongozi anavunja sheria in the name of uzalendo tunashangilia............

sasa huyu tulienae leo anajenga international airport kijijin kwake chato bado tunashangilia, ati kwasababu chato kuna watanzania nako,......

hata hio tr 1.5 ambayo haionekani kwenye vitabu vya serikali imechukulia kwa mtindo huo huo wa uzalendo na matumizi ya sirini ya viongozi wetu...........

subiri waje watanzania wazalendo na povu lao hapa, utashangaa......... fasta watahamisha hoja na kuanza kujadili vitu vingine
 
Pesa imetumika katika matumizi mengine ya serikali. Pili kwani Chato sio Tanzania.?? Hivi utaweza mtibu jirani yako kabla ujajitibu wewe ??
 
Nimefuatilia ripoti ya mbunge wa Tanzania anayeitwa Zitto Kabwe, ameeleza neno kwa neno jinsi hela ndefu sana (Tshs 1.5 trillions au Kshs 68 billions) zimechezwa Tanzania. Anaeleza jinsi wamelipa madeni hewa na ukiukwaji wa hatua zote za shria za manunuzi.

Sasa binafsi kuna siku nilikua nawaza labda rais Uhuru aache kusubiri taasisi za kupambana na ufisadi, amuige Magufuli na kufanya zile show za kutembea na wanahabari na kushtukiza shtukiza watu maofisini, labda zitapunguza ufisadi Kenya, kila siku akiamka awe anawaza leo atshtukiza wapi.
Lakini kwa hayo yanayotokea Tanzania, ni wazi huo mfumo wa kuwaibukia ibukia watu maofisini sio suluhu, mwafrika ni mfupa uliomshinda fisi, haachi asili ya kifisadi hata upige makelele vipi. Nchi maskini halafu unaitapeli 1.5 trillion, utawaacha mifupa wazi.

Zitto Kabwe ameeleza kwenye huu uzi hapa Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa
duh,hii hela ndefu mno kwa nchi iliyo na umaskini wakutisha...mnatafunwa ovyo sana na hapa kazi tuu.poleni sana 😱
 
mkuu MK254, kuna tofauti kubwa kati ya mkenya na mtanzania hasa jinsi tunavyotazama utendaji kazi wa serikali..........

sisi hapa kwetu bongoland kiongozi akifanya ufisadi hua tunajitoa ufahamu na kumtetea kwa nguvu zote kuhalalisha kile amefanya, sisi ni watiifu kwa vyama vyetu na sio kwa taifa letu....... ndio maana hili taifa kiongozi anavunja sheria in the name of uzalendo tunashangilia............

sasa huyu tulienae leo anajenga international airport kijijin kwake chato bado tunashangilia, ati kwasababu chato kuna watanzania nako,......

hata hio tr 1.5 ambayo haionekani kwenye vitabu vya serikali imechukulia kwa mtindo huo huo wa uzalendo na matumizi ya sirini ya viongozi wetu...........

subiri waje watanzania wazalendo na povu lao hapa, utashangaa......... fasta watahamisha hoja na kuanza kujadili vitu vingine

Lakini hili sitowatetea hata Wakenya wenzangu, lipo tu hata kwetu, mtu anatajwa kwenye ufisadi halafu mijitu inajitokeza na kumtetea kwa nguvu nyingi sana, tena kwa povu. Ni aibu ya Kiafrika na laana ya kiaina, nadiriki kukiri lipo kwetu pia, ukithubutu kumfuta mtu kazi kwa tuhuma za ufisadi, atatetewa na wote kuanzia vijijini hadi mjini hadi hata na wasomi.
 
duh,hii hela ndefu mno kwa nchi iliyo na umaskini wakutisha...mnatafunwa ovyo sana na hapa kazi tuu.poleni sana 😱
Unampa nani pole wakati hiyo pesa imetumika kununua ndege pamoja na ujenzi wa majengo ya Dodoma. Pole umesikia tumefiwa
 
Ndege zipi na Majengo yapi hapa Dodoma yamejengwa tunaongelea 1.5 Trilion wewe unaongelea Bombadier ambazo hazifiki 100 bilion
 
Lakini hili sitowatetea hata Wakenya wenzangu, lipo tu hata kwetu, mtu anatajwa kwenye ufisadi halafu mijitu inajitokeza na kumtetea kwa nguvu nyingi sana, tena kwa povu. Ni aibu ya Kiafrika na laana ya kiaina, nadiriki kukiri lipo kwetu pia, ukithubutu kunfuta mtu kazi kwa tuhuma za ufisadi, atatetewa na wote kuanzia vijijini hadi mjini hadi hata na wasomi.
Hakuna ufisadi wa pesa. Pesa zimetumika katika matumizi mengine ya serikali. Ununuzi wa ndege na ujenzi wa baadhi ya majengo na miundombinu haikupitishwa na bunge. Magufuli hasubuli mambo ya bunge kuizinisha mala mchakato. Hizn habari tumeachana nazo. Watu wamekuwa wakiingilia bunge kukwamisha juhudi ya serikali. Tena wengine kutoka mataifa ya nje. Kwa sasa Magufuli ndo waziri wa pesa na matumizi ya nchi. Nchi inasonga mbele mtake msitake
 
Zile ziara za kushtukiza zilikuwa kiki tu kumbe mshitukizaji mwenyewe ndio bingwa wa kuchepusha matumizi ya fedha za serikali bila idhini ya Bunge
 
Unampa nani pole wakati hiyo pesa imetumika kununua ndege pamoja na ujenzi wa majengo ya Dodoma. Pole umesikia tumefiwa
Ndege sh ngapi na ni jengo gani dodoma limejengwa.acha upoyoyo
 
Ndege zipi na Majengo yapi hapa Dodoma yamejengwa tunaongelea 1.5 Trilion wewe unaongelea Bombadier ambazo hazifiki 100 bilion
Pimbi kweli wewe. Kuna Bombardier Q 400 =3. Kuna bombardier CS 300 = 2. Kuna Boeing 787-8 Dreamliner =1. Ujenzi wa majengo wa magereza. Ujenzi wa majengo ya Magomeni kota. Chato uwanja wa ndege. Ujenzi wa ofisi ya waziri mkuu. Ujenzi ikulu ya raisi. Ununuzi wa rada 60.% serikali kuu. Dodoma kuna majengo ya wizara mbali mbali bado unaendelea
 
Hivi hizo data huwa mnaingiziwa kupititia Makalioni huko Lumumba. Unajua Trilioni wewe au unaugua Surua. Mambo ya Ndege CAG angeandika hapa nchi si ingesimama . Unaongelea Majengo ambayo CAG kashindwa kuyaona au mnayajenga ndani kama mimba
 
Wewe hata report ya CAG hujaisoma unadandia treni kwa mbele.
CAG kasema zilitumika katika matumizi mengine ya serikali
Magufuli ni waziri wa pesa na matumizi ya serikali.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom