Hao ni wajanja sana, kufanya maandamano juu ya kumpinga Trump wanaifanya Nchi yao izidi julikana Dunian na watu wavutiwe kuja itembelea na kuongeza mapato yatokanayo na utalii. Tujifunze kutumia fursa kuitangaza nchi yetu
from the comments nimejua watanzania bongo lala.....so shallow minds
Msalimie Baba Odinga, Jaluo wewe
Don't you think u know everything...wadvr u re protesting er has no impact to trump..trump gives no flynfk bout u...yes we maybe needy and poor but we re not stupid,our silence has never been our weakness,you as a poor African country re no better than any of us..and u shud learn wat role to play..but not protesting,that's embarrassing and hilarious.U guys better channel that energy to build ur own nation till wen ur say n ur protest in the worldissues matter..
[emoji2] tz matoepeni afu kesha US... ndio ni haki muandamane. Kama mnaishi ndoto za US? acha utumwa wa mawazo ninyi?
Lazima tuwakalipie maana mmetuaibisha ngozi nyeus... yaaani kitu kidogo kama hiki mmeshindwa kukielewa
Huo ni upungufu wa akili na ujinga. Kuandamana ndio democrasia!!? Kuandamana kwaajili ya marekani ndio demokrasia!!!?
Huu ni ushenzi wa wachache Africa wanaotumiwa na wazungu.
Angalia hapa. Tangu uhuru tupo na presidents 5.
Nyie mpo na 4.
Kati ya TZ na kenya ipi ya kidemokrasia?
Nyie kwenye uchaguzi mpaka mchinjane Gikuyu na luo. Huo ni ujinga.
Povu. Nchi yenu inaongozwa na ukoo mmoja.Ninyi mmewaua wa ZANZIBARI wengi na kufutilia uchaguzi wao kila mara.....AIBU AIBU.
AU na UN YAFAA KUWAONYA NA KUINGILIA KATI UCHAGUZI WA ZANZIBAR KAMA VILE GAMBIA, ILI CHAGUO LA WANANCHI WA NCHI HURU YA ZANZIBAR LIHESHIMIWE!
Povu. Nchi yenu inaongozwa na ukoo mmoja.
Kwikwikwi. Huyo si alikuwa kibaraka wa Kenyatta. Au hujui. Hiyo nchi ni ya koo tu. Je Daniel aliingiaje kuwa rais?Moi aliiongoza Kenya miaka 24,hakuwa wa koo la Kenyatta,Odinga au Kibaki!
Kalb hayawan!
oh am sorry, did we hurt your feelings? oh poor you. get over itSawa endeleeni kuandamana pamoja na wanaune.....
Ovyoo kweli nyie.,mnamtisha nyau Trump!!!!!
Mlidanganywa na CNN.aljazeera,BBC,na fox mkiaminishwa Hillary atashinda..
Usiye mpenda kaja. ..you beggars you will develop by our own resources.. Time has come now.
Didi you read this down?oh am sorry, did we hurt your feelings? oh poor you. get over it
Wakenya mmamambo ya kike sana nyie...matatizo yenu mbona hamyapi kipaumbele?
America inawahusu vipi?mtaolewa sasa maana mnajibebisha
Sisi hatumpingi na tunamuunga mkono sana tena sana na hata kama tungempinga at list ni wetu na athari zake zinatuathiri moja kwa moja maana ni wetu na tumempgia kura sisi na yuko kwa ajiri yetu, sasa nyie swali ni moja Trump anawahusu nini ninyi? Mbona mnakimbilia ya mtaa mwingine ili hali kuna ya kwenu apo, au basi ata jiran angalau lakn mtaa wa pili looooh mnatuabisha waafrica.... kipindi kili burundi (jirani kabisa) kutokee machafuko hamkuanamana ila leo mwaandamanishwa na mambo ya US?
These are all the people who marched worldwide ASS!!Kwikwikwikwi umechoka ku post picha zako?
Nikuulize swali je, kenya ni monarchy au republic?
Kwanini inaongozwa na ukoo uleule? Yaani ukoo wa Kenyatta na Oginga Odinga. Wakenya mtakuwa mmeshikiwa akili na elites.
Sasa democracy yenu ipo wapi?
Umesoma taarifa hii hapa chini:-These are all the people who marched worldwide ASS!!
View attachment 462964
View attachment 462965
View attachment 462966
Usa Bush wamekuwa presidents wawiliKwikwikwikwi umechoka ku post picha zako?
Nikuulize swali je, kenya ni monarchy au republic?
Kwanini inaongozwa na ukoo uleule? Yaani ukoo wa Kenyatta na Oginga Odinga. Wakenya mtakuwa mmeshikiwa akili na elites.
Sasa democracy yenu ipo wapi?
Kwikwikwi umesoma hiyo taarifa lakini. Yaani nchi inaongozwa na koo. Je, nchi yenu ni Monarchy?Usa Bush wamekuwa presidents wawili
Bill clinton Hillary clinton
Condoliza Rice and Family
Smh!!
France Le pen Family
Argentina imeongozwa na familia moja Wife and husband for 18yrs
Guatemala president na VC NI WIFE na Husband
North Korea
Jordan
Botswana The Khamas
Nigeria Bihari alikuwa President 1986 tena amerudi peleke Lack of knowledge mbali Jingai!!