Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Kenya ni sehem ya America, maana kuna citizen wao aliwahi kuiongoza Kenya.
 
Ha ha ha... mweeeeh waafrica tunahitaji tutawaliwa tena, kwa hiyo nyie mnaandamana kwa kupigania dawa za ukimwi na hivyo vyandarua?
 
Ha ha ha... mweeeeh waafrica tunahitaji tutawaliwa tena, kwa hiyo nyie mnaandamana kwa kupigania dawa za ukimwi na hivyo vyandarua?

Ilhali nyie wapokeaji wakubwa wa madawa,vyandarua ,fedha ya BAJETI yenu na kadhalika.
KIKUBWA NI HAKI ZA BINADAMU.....NA HILO NYIE BONGOLALA HAMTOKAA MKALIFAHAMU.
Mpo very primitive bado, mmezowea kufungiwa hadi mitandao,bure, useless people!

Nyinyi tulizeni makalio hapo mwituni,muache dunia iliyoendelea ipambane,mtakuja elewa umuhimu mtakapo endelea kifikra na kihali.
 
Nyie bajeti mnajitegemea eeeh? Halafu hiyo mitandao ya kijamii iliyofungwa ni ipi?
 
Nyie bajeti mnajitegemea eeeh? Halafu hiyo mitandao ya kijamii iliyofungwa ni ipi?

TUNAJITEGEMEA almost 99% for your information, tafuta figures za kwenu huko.
Kwaheri, sitoendelea na huu mjadala.
 
TUNAJITEGEMEA almost 99% for your information, tafuta figures za kwenu huko.
Kwaheri, sitoendelea na huu mjadala.
Tulia dawa ikuingie wewe... unakimbilia wapi na figa zako za uongo, ila all in all mmetuaibisha waafrica wenzio, acheni wazungu na mambo yao tatueni yenu kwanza au ya majirani zenu...
 
Nyie bajeti mnajitegemea eeeh? Halafu hiyo mitandao ya kijamii iliyofungwa ni ipi?
Ndio, kwa asilimia 96%. Tanzania ni kwa asilimia 55, gharama iliyobaki ya bajeti ni kutokana na wafadhili.
 
Andamaneni kuh Maumau au Ufisadi uliokisili na mauaji ya Alshabab..
 
Ni ujinga na upumbavu uliojaa utumwa wa kimawazo. Ni namna gani mlivyo wapuuzi na watu wasio jielewa. Nimekuuliza nyie ndio mnaamulia maisha wamarekani? Acheni ujinga.
 
Andamaneni kuh Maumau au Ufisadi uliokisili na mauaji ya Alshabab..

Andamaneni kukaliwa na CHAMA KIMOJA MIAKA NENDA RUDI
Andamaneni UMASIKINI WA KUTUPWA ILHALI MNA MALIASILI ZA KUTISHA MIAKA 100 SASA
Andamaneni MMEKOSA UHURU WA HABARI,TAARIFA N.K
Andamaneni HAKI ZENYU ZA KIBINADAMU KUKIUKWA MIAKA 55 SASA, WANAWAKE KWA WATOTO PAMOJA NA VIJANA.
Andamaneni UKOSEFU WA ELIMU BORA MATOPENI HUMO
Andamaneni KUULIWA ALBINO/ZERUZERU KILA KUKICHA HUMO TANGANYKA
Andamaneni UKOSEFU WA AFYA HUMO
Andamaneni UCHUMI MBOVU TANGU JADI....MIAKA 100
Andamaneni UPUMBAVU KUONGEZEKA NA KUKITHIRI Tz
Andamaneni.......................................................................................
 
Mbona sielewi wakuu kwanin wanaoandamana kuhusu Trump wasingeiomba UN kuwe na haki ya kupiga kura ya maamuz juu ya uchaguz wa america popote dunian kwa maana waliopiga kura ndio wanahaki ya kupinga kuhusu huyo mtu sasa ww hata kura haikuhusu then unajifanya una uchungu na mtu aliechaguliwa na wengine .....upuuz huu iomben US ibadili katiba yake bas ili nanyi mpate fursa ya kuchagua ndan ya marekan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…