Usikwepe swali langu kwa kuniambia nikasome. Hiyo sheria nimeisoma tena nimerudia mara kibao. Lakini swali langu hili ni kwanini huko kenya kuna organization za ushoga? Nani amezisajiri? Je, kama zimesajiriwa na serikali kwanini?
Hizi hapa chini:
Organizations promoting Homosexuality in Kenya
Wacha nikuletee maelezo nilioyaandika hapo kwa hio comment unayosema umesoma,,,, Kama bado hauwelewi jinsi gani iliasajiliwa baada ya kusoma hapo, basi Rudi darassani ukafundishwe critical thinking...
Hapa chini kwa article 27 ndo hio organization ilipata nguvu, hapa inasema kila Mkenya (awe mwizi, muuwaji, mfisadi) anafaa kulindwa kisheria, kumaanisha hata awe ameshikwa red handed akiua mtu, bado anahaki ya kulindwa , anaweza andlika lawyer ama akaingia organization ambayo iitamtetea, Leo hii Mkenya akiform NGO Na aiite "organization against stiff prosecution of thieves" Na iwe inatetea
Haki za wezi basi, kikatiba wanaruhusiwa manake kuform hio organisation haimanishi hai Ni wezi..... The same thing applieys kwa hio organization ya mashoga....
Article 27 of the Constitution of Kenya provides that,
1.Every person is equal before the law and has the right to equal protection and equal benefit of the law.
2.Equality includes the full and equal enjoyment of all rights and fundamental freedoms.
3.Women and men have the right to equal treatment, including the right to equal opportunities in political, economic, cultural and social spheres.
4.The State shall not discriminate directly or indirectly against any person on any ground, including race, sex, pregnancy, marital status, health status, ethnic or social origin, colour, age, disability, religion, conscience, belief, culture, dress, language or birth.
5.A person shall not discriminate directly or indirectly against another person on any of the grounds specified or contemplated in clause (4)