Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

Kwanza hiyo sheria haijaongelea masuala ya ushoga.
Soma hapa kuhusu Kenya na ushoga:
Organizations promoting Homosexuality in Kenya
Gay Kenya

Gay and Lesbian Coalition of Kenya - Wikipedia

Kwikwikwi. Je sheria ipi sasa inakataza Organization zinazo promote ushoga zikasajiliwa?
Akili ya kuelewa naona bado haijakua... Baada ya kukueleza Na kukuonyesha, bado unarudi pale pale..... Wacha basi nikupe in simple terms, ushoga is illegal in Kenya, ukishikwa Na kupelekwa mahakamani, miaka Ni kuanzia tano hadi 14, Na Kama ulilazimisha basi miaka Ni 21.period... Hata kuwe Na organisation Mia moja, bado sheria Ni Ile Ile...

Hebu sawa nikuulize, Ni mashoga wangapi wametupwa ndani Tanzania? Hivi unafikiria Dar hakuna mashoga, mwanzo uswahilini Hua wamejaa Sana! Hahaha
 
Nimekuuliza swali. Je, Organization za ushoga zimesajiliwa na nani Kenya? Kwanini serikali imesajili organization za ushoga zote hizo?
 
Eweee, hebu Rudi kwa Ile comment nimeweka vipengee vya sheria Na Ni kaeleza , usoma Na ujaribu k uelewe bana, its like naongea Na katoto bana
 
Hahaha wakenya wanaunganisha dot za kijinga et kisa kaka yao jaluo Obama alikuwa prezidaa sasa na wao wakajipa dna wakawa same breeding na wazungu
 
Eweee, hebu Rudi kwa Ile comment nimeweka vipengee vya sheria Na Ni kaeleza , usoma Na ujaribu k uelewe bana, its like naongea Na katoto bana
Usikwepe swali langu kwa kuniambia nikasome. Hiyo sheria nimeisoma tena nimerudia mara kibao. Lakini swali langu hili ni kwanini huko kenya kuna organization za ushoga? Nani amezisajiri? Je, kama zimesajiriwa na serikali kwanini?
Hizi hapa chini:
Organizations promoting Homosexuality in Kenya
 
Usikwepe swali langu kwa kuniambia nikasome. Hiyo sheria nimeisoma tena nimerudia mara kibao. Lakini swali langu hili ni kwanini huko kenya kuna organization za ushoga? Nani amezisajiri? Je, kama zimesajiriwa na serikali kwanini?
Hizi hapa chini:
Organizations promoting Homosexuality in Kenya
Wacha nikuletee maelezo nilioyaandika hapo kwa hio comment unayosema umesoma,,,, Kama bado hauwelewi jinsi gani iliasajiliwa baada ya kusoma hapo, basi Rudi darassani ukafundishwe critical thinking...

Hapa chini kwa article 27 ndo hio organization ilipata nguvu, hapa inasema kila Mkenya (awe mwizi, muuwaji, mfisadi) anafaa kulindwa kisheria, kumaanisha hata awe ameshikwa red handed akiua mtu, bado anahaki ya kulindwa , anaweza andlika lawyer ama akaingia organization ambayo iitamtetea, Leo hii Mkenya akiform NGO Na aiite "organization against stiff prosecution of thieves" Na iwe inatetea
Haki za wezi basi, kikatiba wanaruhusiwa manake kuform hio organisation haimanishi hai Ni wezi..... The same thing applieys kwa hio organization ya mashoga....

Article 27 of the Constitution of Kenya provides that,
1.Every person is equal before the law and has the right to equal protection and equal benefit of the law.
2.Equality includes the full and equal enjoyment of all rights and fundamental freedoms.
3.Women and men have the right to equal treatment, including the right to equal opportunities in political, economic, cultural and social spheres.
4.The State shall not discriminate directly or indirectly against any person on any ground, including race, sex, pregnancy, marital status, health status, ethnic or social origin, colour, age, disability, religion, conscience, belief, culture, dress, language or birth.
5.A person shall not discriminate directly or indirectly against another person on any of the grounds specified or contemplated in clause (4)
 
Umerudi pale pale ya vijisababu , yote hayo yanashughuliliwa hapa Kenya, angalia runinga za Kenya au fywata trends za Kenya utajionea mwenyewe hashtags Na maandamano kila mmwezi Ku pressure serikali....

Yote Tisa, kumi-Tanzania bado iko nyuma Sana kidemocrasia Na maendeleo ya binadamu
Nyie mngekuwa na democrasia halafu ukoo mmoja ndio ukawa unawaongoza tu?
 
Naona democrasia bado haijafika Dar.... Mko mbali Sana hata hamjui umuhimu wa maandamano, hebu jiulize ishara ya hai wanawake kufanya maamdamano katika msitu...... Hivi watanzania mnajua kua Afrika ndo ime affectiwa zaidi Na global warming? Na hivi mnajua karibu 90% ya global warming ya africa imetokana na air pollutions ya industrialisation ya nchi za magharibi, na hivi mlifywatilia Yale trump alisema eti global warming Ni hoax , kwahivyo yeye Kama rais wa marekani atalazimisha nchi yake iache kulipa faini kwa nchi za Africa kwa kuharibu hewa yetu, tena marekani itazidi kutumia coal Ile mbaya kabisa ipatikanayo kule ili kufufua viwanda vingi zaidi...wakati huku Africa ukame na elnino zinazidi kuongezeka...... Alafu wakenya wakiandamana mnaleta ujinga zenu hapa ! Watz bana, akili zenu mlirusha wapi mazuzu kabisa
Je, wanavyo andamana itawazuia wamarekani kufanya wanayotaka?
 
Hapa hauongei Na watoto bana, you don't always get what you want, the world is unfair.....
Lakini tutalala tukijua hata Kama sisi Ni wakaazi wa nchi ndogo, tulitoa maoni Na hisia zetu Na tukaongea bila uoga..
Afadhali aliyejaribu Na kuanguka kuliko alieketi Na kujitishia mwenyewe kisha kanyamaza
 
Waseeeng,sanaa😡😡😡😡.Awagom kwaajilli ya madaktal wao waliogoma wanakaz na kudeal vicvyo wahusu.
 
Wacha nikuletee maelezo nilioyaandika hapo kwa hio comment unayosema umesoma,,,, Kama bado hauwelewi jinsi gani iliasajiliwa baada ya kusoma hapo, basi Rudi darassani ukafundishwe critical thinking...

Hapa chini kwa article 27 ndo hio organization ilipata nguvu, hapa inasema kila Mkenya (awe mwizi, muuwaji, mfisadi) anafaa kulindwa kisheria, kumaanisha hata awe ameshikwa red handed akiua mtu, bado anahaki ya kulindwa , anaweza andlika lawyer ama akaingia organization ambayo iitamtetea, Leo hii Mkenya akiform NGO Na aiite "organization against stiff prosecution of thieves" Na iwe inatetea
Haki za wezi basi, kikatiba wanaruhusiwa manake kuform hio organisation haimanishi hai Ni wezi..... The same thing applieys kwa hio organization ya mashoga....

Article 27 of the Constitution of Kenya provides that,
1.Every person is equal before the law and has the right to equal protection and equal benefit of the law.
2.Equality includes the full and equal enjoyment of all rights and fundamental freedoms.
3.Women and men have the right to equal treatment, including the right to equal opportunities in political, economic, cultural and social spheres.
4.The State shall not discriminate directly or indirectly against any person on any ground, including race, sex, pregnancy, marital status, health status, ethnic or social origin, colour, age, disability, religion, conscience, belief, culture, dress, language or birth.
5.A person shall not discriminate directly or indirectly against another person on any of the grounds specified or contemplated in clause (4)
Kwikwikwikwi. Sasa mbona unaruka ruka. Kwahiyo ni halali Organization za mashoga kuwepo lakini sio kufanya ushoga? Kwikwikwikwi, mbona katiba yenu hauilewi tena wewe mwenyewe. Nimekuonesha List za organization za mashoga Kenya. Tanzania hakuna upumbavu huo. Sisi tunapinga kwa vitendo sio nyie mnafanya unafiki wakujifanya mnapinga huku mnatekeleza. Ndio maana ninasema nyie wakenya ni wanafiki sio wa kuaminika.
 
Hapa hauongei Na watoto bana, you don't always get what you want, the world is unfair.....
Lakini tutalala tukijua hata Kama sisi Ni wakaazi wa nchi ndogo, tulitoa maoni Na hisia zetu Na tukaongea bila uoga..
Afadhali aliyejaribu Na kuanguka kuliko alieketi Na kujitishia mwenyewe kisha kanyamaza
Sawa mkuu
 
Duh hili nalo ni la kuwekwa kwenye kitabu cha giness
 
Hapa hauongei Na watoto bana, you don't always get what you want, the world is unfair.....
Lakini tutalala tukijua hata Kama sisi Ni wakaazi wa nchi ndogo, tulitoa maoni Na hisia zetu Na tukaongea bila uoga..
Afadhali aliyejaribu Na kuanguka kuliko alieketi Na kujitishia mwenyewe kisha kanyamaza
Huo ni unafiki. Na upuuzi. Kwanini usiandamane kwa mambo ya muhimu. Sasa unaandamana kwa sababu ya Rais wa Marekani. Huo ni umbumbumbu. Unataka nani akusikilize wewe mkenya kwenye mambo ya USA? Yaani waache kusikiliza watu wao wakusikilize wewe kapuku!!!
 
Wakenya huielewi,hapa Trump anawachabo tu, naomba aanze nanyi ukizingatia mna uchaguzi Mwaka huu,
 
Hawa jirani zetu sasa ni shida,
Mbona madaktari wamegoma hapo lakini hawakufanya hayo maandamo ili kuishinikiza serikali iwalipe wanachotaka, wahadhili wa vyuo wameanza mgomo wao wako kimya tu wanasubiri waandamane kwa ajili marekani!! wanajeshi waliouwawa kule somalia tunasikia ni wengi lakin hatujawahi kusikia wakenya wanaandama kuitaka serikali iwape idadi kamili, wao wanasubiri waandamane kwa ajili ya watu wamarekani!!!!

Hapa tunaita mwenzako anagongwa wewe unakata kiuno.

Mbona hao wanawake hawakuandama wakati wale wasichana kule Nigeria wametekwa!!! Huu tunaita unafiki kiwango cha lami.
 
Back
Top Bottom