Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
hawa jamaa kwa kulilia vitu vya watu usije shangaakusikia wakenya wakisema marekani ni yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
First and foremost!, learn to respect women. wamaanisha nini ukisema mambo ya kike. Mambo yetu twayapa kipao mbele kama kawa. Kuandamana kwa ajili ya jambo la ugaibuni ni moja tuu kati ya mambo tunayofanya kwa sasa. As we speak, we are registering for our next general election, recently president Kenyatta was busy launching 'police security gear', while Opposition chief and govt representatives were busy at the KICC helping unlock on how to have credible election. Yesterday our president was making a deal with Ethiopian authorities about the oil pipeline. Kenyan workers are busy pushing for their rights as per the constitution provisions of the right to picket etc. So what do you mean by 'hatupei mambo yetu kipau mbele?'.Wakenya mmamambo ya kike sana nyie...matatizo yenu mbona hamyapi kipaumbele?
America inawahusu vipi?mtaolewa sasa maana mnajibebisha
Uyajui mambo ya kike? Waulize wakuambieFirst and foremost!, learn to respect women. wamaanisha nini ukisema mambo ya kike. Mambo yetu twayapa kipao mbele kama kawa. Kuandamana kwa ajili ya jambo la ugaibuni ni moja tuu kati ya mambo tunayofanya kwa sasa. As we speak, we are registering for our next general election, recently president Kenyatta was busy launching 'police security gear', while Opposition chief and govt representatives were busy at the KICC helping unlock on how to have credible election. Yesterday our president was making a deal with Ethiopian authorities about the oil pipeline. Kenyan workers are busy pushing for their rights as per the constitution provisions of the right to picket etc. So what do you mean by 'hatupei mambo yetu kipau mbele?'.
Sina haja!Uyajui mambo ya kike? Waulize wakuambie
Sasa ungenyamaza unaonekana hujielewSina haja!
Kwa mwenye atafatilia yale niliyo changia na kisha afananishe vile unavyobisha ataelewa ni nani hajielewi.Sasa ungenyamaza unaonekana hujielew
Kaandamane tu unahuo muda...Kwa mwenye atafatilia yale niliyo changia na kisha afananishe vile unavyobisha ataelewa ni nani hajielewi.
Sawa usijali. lakini nikiandamana hilo lisikuume. Wacha nikavae magwanda.Kaandamane tu unahuo muda...
goodnight
Unauliza swali au unatoa maelezo?
Dah hivi lumumba mnalishwa nini huwa ? Kwani wewe huoni alama ya kuuliza hapo ?watanzania zinatutosha?
tangu Obama aingie campuni nyingi sana za marekani zilihamisha HQ zao za Africa na kuzileta Kenya, akina google, General motors, IBM, VISA, Cocacola,... nk. hata ule wakati alikuja kwenu na ku launch ile project ya 'Power Africa' alafu meishowe HQ yake ikawekwa kenya, kwa sasa campuni za matekani kupitia power africa zimewekeza zaidi ya $2 Billion ndani ya kenya pekee, tanzania ambapo Obama ali launch hio initiative haijawekezwa hata robo ya hio billioni mbili, hakuna nchi nyengine imefaidi zaidi kupitia power afrika kushinda kenya, alafu chini ya Obama., msaada wa marekani haswa kwa utafiti wa magonjwa uliongezeka zaidi, nchi nyingi za africa hua zinadai Obama hakuwafaidi sana ukilinganisha na bush lakini kwa kenya, ukichunguza ki undani utaona mengi yalifanywa kenya kimia kimia, dili zilikua zinapigwa tu ndani ndani... Chini ya Obama, Kenya ilikua number 1 african exporter to the US kupitia AGOA.... mambo mengi sana tumefaidiNa huu pia ni wendawazimuuu...Obama mlifaidika nn alipokuwa rais wa marekani????
Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
Sawa endeleeni kuandamana pamoja na wanaune.....tangu Obama aingie campuni nyingi sana za marekani zilihamisha HQ zao za Africa na kuzileta Kenya, akina google, General motors, IBM, VISA, Cocacola,... nk. hata ule wakati alikuja kwenu na ku launch ile project ya 'Power Africa' alafu meishowe HQ yake ikawekwa kenya, kwa sasa campuni za matekani kupitia power africa zimewekeza zaidi ya $2 Billion ndani ya kenya pekee, tanzania ambapo Obama ali launch hio initiative haijawekezwa hata robo ya hio billioni mbili, hakuna nchi nyengine imefaidi zaidi kupitia power afrika kushinda kenya, alafu chini ya Obama., msaada wa marekani haswa kwa utafiti wa magonjwa uliongezeka zaidi, nchi nyingi za africa hua zinadai Obama hakuwafaidi sana ukilinganisha na bush lakini kwa kenya, ukichunguza ki undani utaona mengi yalifanywa kenya kimia kimia, dili zilikua zinapigwa tu ndani ndani... Chini ya Obama, Kenya ilikua number 1 african exporter to the US kupitia AGOA.... mambo mengi sana tumefaidi