Anaona wivu kwa nini mbongo amchukue mtu wao... mwambieni huyo wanaemuita tajiri kazimia na swaga za kijana wa kati kati ya nchi...Hahaha mwandishi kaona wivu
MK254 karibu usome hii
Hata ungekua wewe lazma roho ingekuuma,Kiba kabeba mkenya,Mond anakula mkenya,Benpizo nae kabeba mkenya,ila Dimpoz tu ndo anatuangusha sisi wanaume wa bongo yeye kaenda kwa gavanna,sijui wanamfanyaje huko mombasa!!Siku chache baada ya kukiri kuwa kwenye mahusiano msanii wa bongo fleva Ben Pol na binti tajiri was kikenya Anerlisa Muigai mtandao wa nchini Kenya uitwao Tuko.co.ke umeandika binti huyo amewakimbia wanaume wa Kenya na kumchumbia Ben Pol, kinyume na kawaida kuwa mwanaume ndo anamchumbia mwanamke, haieleweki Kama wanahisi bwana Ben Pol hawezi mchumbia binti huyo au walikosea kuandika
Wadau hivi ni sahihi kuandika mwanaume anachumbiwa?
View attachment 951395View attachment 951397
Tunadumisha unduguAsante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll
hahaha mkuu wahuku wameshindikana wanapitiwa tu kuolewa wanaolewa wengineAsante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll
Tunadumisha undugu
Nimependa uandishi wakoAsante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll
Tutawapa Gigy Money.Asante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll