Wakenya waanza kumuandika vibaya Ben Pol, kisa utajiri wa binti

Wakenya waanza kumuandika vibaya Ben Pol, kisa utajiri wa binti

Hata ungekua wewe lazma roho ingekuuma,Kiba kabeba mkenya,Mond anakula mkenya,Benpizo nae kabeba mkenya,ila Dimpoz tu ndo anatuangusha sisi wanaume wa bongo yeye kaenda kwa gavanna,sijui wanamfanyaje huko mombasa!!
😂😁😁😂😂😂😂
 
Nyavu za Ben pol zimenasa kitoweo kizuri sana big Up kwake!
 
Asante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll
Derby ya mashemeji teh teh teh
 
😂😂 mbona sisi Amber Lulu anachukukiwa na Prezo lkn tumekubali kumwita shemeji, wawe wapole tu 😂
 
Back
Top Bottom