evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
Huku kwetu tumejawa na zero brains Kama amberruty gigy,sanchoka na wemaAsante kwa kuniita huku....afu naona kama mumeanza kutuzoea vibaya, Ali Kiba kaja na kunyakua binti wetu wa Pwani tukainyamazia, huyu Ben Pol naye keshaleta pua huku.... Hivi hiyo Bongo hakuna warembo muishie huko huko....hehehe
Diamond kafuata Zari Uganda, AY akafuata Mnyarwanda....mbona mnawakimbia mabinti wenu.....mtuachie wetu la sivyo tutachomoa mapanga na kuonana wabaya.....wivu unaniuma fulllllll