Wakenya waanza kumuandika vibaya Ben Pol, kisa utajiri wa binti

Huku kwetu tumejawa na zero brains Kama amberruty gigy,sanchoka na wema
 
SIJAONA MAHALI WAMEMUANDIKA VIBAYA. KAMA ULIMAANISHA PALE WALIPOSEMA "AMEMCHUMBIA KIJANA TOKA TANZANIA" UTAKUA HUJAWATENDEA HAKI, HAPO WATAKUWA WAMETAFSIRI KIINGEREZA MOJA KWA MOJA KUJA KISWAHILI (DIRECT TRANSLATION)
 
Unajua? Wanasiasa wetu wameshindwa kuleta umoja katika nchi za EAC lakini watu kama wewe, Bel Pol, Anerlise, Ali Kiba, Amina mwaweza kufanikisha hii kitu😊
 
Usipate shida mkuu, si uje tu huku Bongo na wewe uchukuwe wa huku!!
 
Ni wivu tu hamna kingine. Hata kama mwanamke kamchumbia mwanaume wao haiwahusu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sisi ni familia ya afrika mashariki
 
Tafadhali sana, kama akikupa jibu la hili naomba uniite.
 
Shemeji (In Ben Pol's voice) Habari za siku?
 
Huku kwetu tumejawa na zero brains Kama amberruty gigy,sanchoka na wema
Ila sanchoka kakosa tu dalali mzuri! Yule tukipata dalali mzuri tunamuuza kwa bei nzito tu kwa tajiri la kijaluo!
 
Ila sanchoka kakosa tu dalali mzuri! Yule tukipata dalali mzuri tunamuuza kwa bei nzito tu kwa tajiri la kijaluo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatizo wakenya hawako romantic Kama machalii wa chuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…