Wakenya waanza kumuandika vibaya Ben Pol, kisa utajiri wa binti

Kwamba ben paul ana danga 254 πŸ˜‚πŸ˜‚
 


Mimi natafuta fweza nije kubeba Mamito. Nampenda yule binti, lazima tufunge pingu za maisha.
 
CMB Prezo anatoka na Amber lulu! Wakenya mukuje Tanzania tutawapa Gigy Money na Amber Rutty bure bila mahari!
 
Huyu demu namsiaga skiaga tu....vp? Ni chombo??
 
Mkuu pamoja na hayo ila tanzania tuna utajiri wa mabinti wengi wazuri.....lakini kenya wengi wao wamenyata .......
 
Ben naye asituangushe watanzania atuwakilishe vyema kimataifa
 
Kwa hasira Wakenya watambeba Amber ruty.
 
Njoo na wewe uvute hku

Ova
 
Hata ungekua wewe lazma roho ingekuuma,Kiba kabeba mkenya,Mond anakula mkenya,Benpizo nae kabeba mkenya,ila Dimpoz tu ndo anatuangusha sisi wanaume wa bongo yeye kaenda kwa gavanna,sijui wanamfanyaje huko mombasa!!
hahahahaaa...eti dimpoz anatuangusha.
 
Hahaaha... Salamu zao huko Kenya bro.
 
Nategemea Pol
Alifanyizia Kazi Suala Hili Haraka
Akachukue Haraka Haraka
Ngoja Ngoja....
 
Mwenye dada hakosi shemeji yakhee....!
 
Nasikia wadada wa Kenya ni watamu sana.
 
Hata mimi nilimpata mdada wa kikenya anatokea mahali panaitwa kiambuu...tuliishi naye Muthaiga kipindi flani karibu na kwa Moi ila alinipenda sanaaa now ni mke wa mtu...!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…