Wakenya waanza kumuandika vibaya Ben Pol, kisa utajiri wa binti

Hata ungekua wewe lazma roho ingekuuma,Kiba kabeba mkenya,Mond anakula mkenya,Benpizo nae kabeba mkenya,ila Dimpoz tu ndo anatuangusha sisi wanaume wa bongo yeye kaenda kwa gavanna,sijui wanamfanyaje huko mombasa!!
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyavu za Ben pol zimenasa kitoweo kizuri sana big Up kwake!
 
Derby ya mashemeji teh teh teh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona sisi Amber Lulu anachukukiwa na Prezo lkn tumekubali kumwita shemeji, wawe wapole tu πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…