Wakenya Wadai kuandika katiba mpya, hii iliopo imezeeka

Wakenya Wadai kuandika katiba mpya, hii iliopo imezeeka

Huo ndio ukweli mtake msitake [emoji108]

Kuna huduma nyingi sana waTZ wakikwama kuzipata nchini wanaambiwa kama unahela Kimbilia Kenya ukapone swala lako!

Ikiwemo swala la matibabu na mengine mengi tu.
 
Hata kibiashara,

Wao wanauza zaidi industrial products zao nyingi kwetu kuliko ratio ya kile tunawauzia wao (mostly mahindi kidogo).

Tuamke tuache kulala kwenye usingizi wa pono!
 
Huo ndio ukweli mtake msitake [emoji108]

Kuna huduma nyingi sana waTZ wakikwama kuzipata nchini wanaambiwa kama unahela Kimbilia Kenya ukapone swala lako!

Ikiwemo swala la matibabu na mengine mengi tu.
Kwahiyo matibabu ndio demokrasia?
 
Huo ndio ukweli mtake msitake [emoji108]

Kuna huduma nyingi sana waTZ wakikwama kuzipata nchini wanaambiwa kama unahela Kimbilia Kenya ukapone swala lako!

Ikiwemo swala la matibabu na mengine mengi tu.

Swala
 
Mimi nazungumzia nchi wewe unazungumzia mama yangu.

Mama yangu atakusa idia nini?

Hujibu unacho ulizwa, Unajibu usicho ulizwa..

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Tumewazidi kwa amani nchini

Tumewazidi kwa upatikanaji wa chakula nchinihttps://twitter.com/m/status/1645328259935272960

Watumishi wa serikali wanapata mishahara kwa wakati, Kenya hakuna pesa

tatizo si katiba, tatizo ni utashi wa kutii katiba. Africa hakuna utashi huo
Kuitii katiba kunategemea katiba yenyewe ilivyo. Katiba iliyo huru hasa ktk mamlaka za nchi ( mahakama, serikali na bunge) kuna uwezekano WA kuitii. Kuna siku JPM amewahisema Serikali ni mhimili uliojichimbia zaidi ya mihimili mingine, sasa serkali hapo hata ikiiba utaifanya nini? Inakuwa inaamrisha mihimili mingine kufuata matakwa yake yawe haki au hata kama sio haki!
 
MM NADHANI MHIMILI WA MAHAKAMA NDO UNGEJENGEWA MISINGI MADHUBUTI ISIYOYUMBISHWA NA YEYOTE KULIKO SERIKALI NA BUNGE KWANI SERIKALI NA BUNGE HUDUMU MUDA MFUPI/HUBADILISHWA LKN SIJASIKIA MAHAKA( MAJAJI, MAHAKIMU, NK) HAWABADILIKI KILA MUDA. NDIO MAANA UNASIKIA MANENO KAMA SERIKALI YA AWAMU FULANI NA BUNGE LA 5 N.K .LKN MAHAKAMA IPO TU! NDIPO HASA SRRIKALI ITAKUWA NA ADABU KULIKO TUNASIKIA UOVU MIAKA MIAKA UFISADI N.K . KATIBA IBADILISHWE MAHAKAMA IWE NA NGUVU KUPITA SERIKALI NA BUNGE
 
Back
Top Bottom