Wakenya Wadai kuandika katiba mpya, hii iliopo imezeeka

Wamekuacha wewe na mama yako.
Mama yake kaingiaje hapa mbona wepesi sana kutukana wazazi wa mwenzio. Hivi unamjua mama wewe? Acha kbs hii tabia muwaze mama yako halafu waza mtu amtukane utajisikiaje? Hauna sifa ya kuitwa binadamu.
 
Wewe ulifanya utafiti upi uliosema kwamba Kenya inaizidi Tanzania?
1 Kenyan shilling= 17 TZS...

Na hapa imeshuka huwa ni:

1 Kenyan shilling= 21-22, Kenyan shilling.
Screenshot_20230405-222417_1.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ina security ya kutosha?

Una andika hapa propaganda zako za kijinga zisizo na mantiki yeyote ..

Una hasira na chuki zako na wakenya una kuja kuzimalizia huku JF...

Chawa wewe..!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wewe huna akili, wewe uliposema Kenya inaizidi Tanzania katika demokrasia, ulijiona upo sahihi na huna hasira dhidi ya Tanzania, ila Mimi sina haki ya kutoa maoni yangu.
Kweli wewe ni nyumbu.
 
Kwa hiyo unahitimisha hapa wewe una hasira na Kenya na mimi na hasira na Tanzania.

Na huu uzi wako sio fact bali ni chuki zako dhidi ya wakenya..

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unahitimisha hapa wewe una hasira na Kenya na mimi na hasira na Tanzania.

Na huu uzi wako sio fact bali ni chuki zako dhidi ya wakenya..

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ndio sababu nikasema wewe huna akili, nani aliyesema mwenzake yupo na hasira?.

Mimi ninatoa maoni yangu Kama mtu huru, Sasa Kama wewe unahisi nipo na hasira, huo ni ujinga wako.
 
Kwahiyo matibabu ndio demokrasia?

Namna yako ya kuuliza maswali inaweza kukuonesha una kiwango cha ufahamu na uwezo wako wa kuchambua hoja kuwa finyu.

Hatuulizi vyovyote, tunauliza kutokana na mtiririko wa majadiliano,

Jifunze namna ya kujadili kisha uje ulingoni.

Learning from scratch is difficult sometimes!
 
Huwa nashangaa sana kauli kama hii yako. Demokrasia ya ukabila ndo kutuacha mbali?hao watu hata timu ya taifa ya football ikiwa inapangwa lazima ukabila uhusike. Tanzania hatuhitaji demokrasia ya ukabila.

Sio kweli!

Thibitisha huo ukabila!

Huo ni mtazamo tu.

Ingekuwa ni kweli wangeshapigana vita Kama Burundi Na kwingine.

Sio kiasi hicho unavyozani.

Jamaa kidemokrasia wako juu kuliko sisi kwa mbali sana.

Wako flexible kubadilisha katika yao pale wanapoona kuna haja ya kufanya hivyo kwa manufaa ya wengi.

Kwenye mambo ya uteuzi wa Viongozi walishatokaga huko siku nyingi,

Raia wanaweza kukusanyika, kuandamana bila kibali cha police na hakuna polisi atamzuru raia Kwa hila,

Watu wana Uhuru wa kuongea chochote ilimradi hawavunji sheria bila kisakamwa na vyombo vya dola.

Upo ?

Niamdelee ?

Au imetosha?
 
Ndio sababu nikasema wewe huna akili, nani aliyesema mwenzake yupo na hasira?.

Mimi ninatoa maoni yangu Kama mtu huru, Sasa Kama wewe unahisi nipo na hasira, huo ni ujinga wako.
Akili nini?

Unaweza kunionesha wewe una akili?

Nikitoa maoni kwamba Kenya ime izidi Tanzania hutaki kuyasikia, Unataka usikosolewe, Kwamba kila mchangiaji akubaliane na mtazamo wako wa kuisifia Tanzania..

Una Akili kweli wewe?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Namna yako ya kuuliza maswali inaweza kukuonesha una kiwango cha ufahamu na uwezo wako wa kuchambua hoja kuwa finyu.

Hatuulizi vyovyote, tunauliza kutokana na mtiririko wa majadiliano,

Jifunze namna ya kujadili kisha uje ulingoni.

Learning from scratch is difficult sometimes!
Sasa wewe mwenye posts 9816 unawezaje kunifundisha mtu mwenye posts 24481?. Experience matters.
 
Akili nini?

Unaweza kunionesha wewe una akili?

Nikitoa maoni kwamba Kenya ime izidi Tanzania hutaki kuyasikia, Unataka usikosolewe, Kwamba kila mchangiaji akubaliane na mtazamo wako wa kuisifia Tanzania..

Una Akili kweli wewe?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yes, Nina akili kukuzidi wewe tena kwa mbali Sana. Hivi utasemaje kwamba Kenya imeizidi Tanzania katika demokrasia wakati "Democracy perception Index" ya UN inasema Tanzania ipo juu ya Kenya?
 
Labda tukubaliane hivi kuna vitu Kenya ime tuzidi uchumi ukiwemo..

Na sisi kuna vitu tume wazidi Kenya

Back
Top Bottom