Wakenya Wadai kuandika katiba mpya, hii iliopo imezeeka

Kuna chizi hapa anasema Kenya imeizidi Tanzania kwasababu hawafuati katiba Yao wenyewe
Wewe ni chawa wa CCM unakula unashiba unakuja hapa kuropoka ushuzi.

Unataka sema Tanzania ime izidi Kenya?

Unajivunia Amani ya nchi yenye ujinga, umaskini, katiba mbovu, Umaskini, wahujumu uchumi na wanasiasa wabadhirifu wa mali za uma.

Wewe ni chawa mmojawapo wa CCM..

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni chawa wa CCM.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wewe ni Nyumbu wa Chadomo

Kenya inaongoza kwa Rushwa Afrika nzima,

Kenya inaongoza kwa slums duniani

Kenya inaongoza kwa insecurity ukanda huu

Kenya inaongoza kwa njaa, watu wanateseka na kufa hovyo

Kenya inaongoza kwa ukosefu mkubwa wa ajira kwa vijana

Kenya inaongoza kwa political instability

Kenya inaongoza kwa mauaji ya kiholela yanayofanywa na vyombo vya Dola ikiwemo kuwapiga na kuwanyanyasa wanahabari.

Kenya inaongoza kwa kudharau maamuzi ya mahakama.

Wewe Nyumbu wa Chadema upo hapa ukijamba hovyo.
 
Huna hoja wewe pita hivi....

Tanzania haina rushwa?

Tanzania haina ukosefu wa ajira?

Tanzania haina slums?

Ulifanya utafiti upi na ushahidi gani unao unapo sema Kenya ina ongoza kwa rushwa Afrika?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Nyumbu wa Chadomo

Kenya inaongoza kwa Rushwa Afrika nzima,

Kenya inaongoza kwa slums duniani

Kenya inaongoza kwa insecurity ukanda huu

Kenya inaongoza kwa njaa, watu wanateseka na kufa hovyo

Kenya inaongoza kwa ukosefu mkubwa wa ajira kwa vijana

Kenya inaongoza kwa political instability

Kenya inaongoza kwa mauaji ya kiholela yanayofanywa na vyombo vya Dola ikiwemo kuwapiga na kuwanyanyasa wanahabari.

Kenya inaongoza kwa kudharau maamuzi ya mahakama.

Wewe Nyumbu wa Chadema upo hapa ukijamba hovyo.
Tanzania ina security ya kutosha?

Una andika hapa propaganda zako za kijinga zisizo na mantiki yeyote ..

Una hasira na chuki zako na wakenya una kuja kuzimalizia huku JF...

Chawa wewe..!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Jamaa wametuacha mbali sana kwenye mambo mengi likiwemo swala la demokrasia.
Huwa nashangaa sana kauli kama hii yako. Demokrasia ya ukabila ndo kutuacha mbali?hao watu hata timu ya taifa ya football ikiwa inapangwa lazima ukabila uhusike. Tanzania hatuhitaji demokrasia ya ukabila.
 
Sijui unabisha nini?

Nyie ndio wajinga wa hii nchi.

Hamtaki kusikia ukweli.

Sasa unadhani tupo sawa na wakenya kwenye mambo ya uchumi, uongozi, maendeleo na utawala bora?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wametuacha kwenye uchumi tu. Uongozi na utawala bora hakuna kitu... huko ni ukabila kwa kwenda mbele. Pia kiusalama Kenya haiko sawà.
 
Uki achwa ume achwa..

Uchumi ndio kila kitu.

Sisi wenye uongozi bora na utawala bora unao usema ndio huu wa ubadhirifu na uhujumu uchumi wa kwenye ripoti ya CAG?

Au kuna utawala bora na uongozi bora mwingine?

Back
Top Bottom