Tunasema wakenya wametuzidi kwenye aspects nyingi Eti Kilaza anakuja na hoja ya ukabila [emoji848][emoji848]
Hata kama ingekuwa ni kweli lakini bado haiondoi ukweli kuwa wanatuzidi kwenye maendeleo ya mambo mengi kadha wa kadha!
Nyie msio na huo ukabila ilihali mambo mengine mko nyuma kupita kiasi inawasaidia nini?
Ukosefu wa huduma ya Maji kama hitaji la msingi la mwanadamu na wanyama zaidi ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika [emoji848][emoji848]
Ukosefu wa huduma ya nishati ya umeme,
Huduma za afya na vifaa tiba,
Miundombinu,
Demokrasia, alikufa yule binti kizembe kabisa sababu tu mawakala walikuwa wanaenda Kwa mkurugenzi kufuata form za uchaguzi!