Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huna hoja wewe, zaidi una matusi na propaganda za kifala ...Nakata nijue kama mbegu zilizotumika ni bora au siyo bora. Kwahiyo jibu swali. Au umevuta bangi?
Wewe ni chawa wa CCM unakula unashiba unakuja hapa kuropoka ushuzi.Kuna chizi hapa anasema Kenya imeizidi Tanzania kwasababu hawafuati katiba Yao wenyewe
Wewe bado una akili finyu.Kipi Tanzania imei zidi Kenya? Kama hatuja achwa.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wewe ni Nyumbu wa Chadomo
Leta hiyo akili yako isiyo finyu hapa..na wewe ni mule mule tuWewe bado una akili finyu.
Huna hoja wewe pita hivi....Wewe ni Nyumbu wa Chadomo
Kenya inaongoza kwa Rushwa Afrika nzima,
Kenya inaongoza kwa slums duniani
Kenya inaongoza kwa insecurity ukanda huu
Kenya inaongoza kwa njaa, watu wanateseka na kufa hovyo
Kenya inaongoza kwa ukosefu mkubwa wa ajira kwa vijana
Kenya inaongoza kwa political instability
Kenya inaongoza kwa mauaji ya kiholela yanayofanywa na vyombo vya Dola ikiwemo kuwapiga na kuwanyanyasa wanahabari.
Kenya inaongoza kwa kudharau maamuzi ya mahakama.
Wewe Nyumbu wa Chadema upo hapa ukijamba hovyo.
Tanzania haina rushwa?Wewe ni Nyumbu wa Chadomo

Hakuna cha mule mule wala nini. Baki tu na akili yako finyu.Leta hiyo akili yako isiyo finyu hapa..na wewe ni mule mule tu
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tanzania ina security ya kutosha?Wewe ni Nyumbu wa Chadomo
Kenya inaongoza kwa Rushwa Afrika nzima,
Kenya inaongoza kwa slums duniani
Kenya inaongoza kwa insecurity ukanda huu
Kenya inaongoza kwa njaa, watu wanateseka na kufa hovyo
Kenya inaongoza kwa ukosefu mkubwa wa ajira kwa vijana
Kenya inaongoza kwa political instability
Kenya inaongoza kwa mauaji ya kiholela yanayofanywa na vyombo vya Dola ikiwemo kuwapiga na kuwanyanyasa wanahabari.
Kenya inaongoza kwa kudharau maamuzi ya mahakama.
Wewe Nyumbu wa Chadema upo hapa ukijamba hovyo.
Akili yako isiyo finyu ina kwambia Tanzania ime izidi Kenya?Hakuna cha mule mule wala nini. Baki tu na akili yako finyu.
Huna hoja.Akili yako isiyo finyu ina kwambia Tanzania ime izidi Kenya?
Nyie ndio wajinga wa hii nchi...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hata wewe huna hoja.Huna hoja.
Huwa nashangaa sana kauli kama hii yako. Demokrasia ya ukabila ndo kutuacha mbali?hao watu hata timu ya taifa ya football ikiwa inapangwa lazima ukabila uhusike. Tanzania hatuhitaji demokrasia ya ukabila.Jamaa wametuacha mbali sana kwenye mambo mengi likiwemo swala la demokrasia.
Wametuacha kwenye uchumi tu. Uongozi na utawala bora hakuna kitu... huko ni ukabila kwa kwenda mbele. Pia kiusalama Kenya haiko sawà.Sijui unabisha nini?
Nyie ndio wajinga wa hii nchi.
Hamtaki kusikia ukweli.
Sasa unadhani tupo sawa na wakenya kwenye mambo ya uchumi, uongozi, maendeleo na utawala bora?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tanzania haina rushwa?
Tanzania haina ukosefu wa ajira?
Tanzania haina slums?
Ulifanya utafiti upi na ushahidi gani unao unapo sema Kenya ina ongoza kwa rushwa Afrika?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Maeneo ya Manzese uswahilini ni maghorofa yale?Tanzania kuna Slums wapi ?
Uki achwa ume achwa..Wametuacha kwenye uchumi tu. Uongozi na utawala bora hakuna kitu... huko ni ukabila kwa kwenda mbele. Pia kiusalama Kenya haiko sawà.
Huna hoja.Hata wewe huna hoja.
Una mihemko yako na chuki dhidi ya kenya
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app