Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Mama yake kaingiaje hapa mbona wepesi sana kutukana wazazi wa mwenzio. Hivi unamjua mama wewe? Acha kbs hii tabia muwaze mama yako halafu waza mtu amtukane utajisikiaje? Hauna sifa ya kuitwa binadamu.Wamekuacha wewe na mama yako.
Wewe ulifanya utafiti upi uliosema kwamba Kenya inaizidi Tanzania?Tanzania haina rushwa?
Tanzania haina ukosefu wa ajira?
Tanzania haina slums?
Ulifanya utafiti upi na ushahidi gani unao unapo sema Kenya ina ongoza kwa rushwa Afrika?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wapi huko wametuacha?Jamaa wametuacha mbali sana kwenye mambo mengi likiwemo swala la demokrasia.
Hicho kichwa cha habari umekiandika kwa makusudi a bahati mbaya?MY TAKE; Hivi umri wa katiba ni miaka mingapi?. Umri wa kipepeo ni siku tatu.
1 Kenyan shilling= 17 TZS...Wewe ulifanya utafiti upi uliosema kwamba Kenya inaizidi Tanzania?
Wewe huna akili, wewe uliposema Kenya inaizidi Tanzania katika demokrasia, ulijiona upo sahihi na huna hasira dhidi ya Tanzania, ila Mimi sina haki ya kutoa maoni yangu.Tanzania ina security ya kutosha?
Una andika hapa propaganda zako za kijinga zisizo na mantiki yeyote ..
Una hasira na chuki zako na wakenya una kuja kuzimalizia huku JF...
Chawa wewe..!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unahitimisha hapa wewe una hasira na Kenya na mimi na hasira na Tanzania.Wewe huna akili, wewe uliposema Kenya inaizidi Tanzania katika demokrasia, ulijiona upo sahihi na huna hasira dhidi ya Tanzania, ila Mimi sina haki ya kutoa maoni yangu.
Kweli wewe ni nyumbu.
Tena ni nyumbu aliyekebuhu....Kweli wewe ni nyumbu.
Ndio sababu nikasema wewe huna akili, nani aliyesema mwenzake yupo na hasira?.Kwa hiyo unahitimisha hapa wewe una hasira na Kenya na mimi na hasira na Tanzania.
Na huu uzi wako sio fact bali ni chuki zako dhidi ya wakenya..
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo matibabu ndio demokrasia?
Huwa nashangaa sana kauli kama hii yako. Demokrasia ya ukabila ndo kutuacha mbali?hao watu hata timu ya taifa ya football ikiwa inapangwa lazima ukabila uhusike. Tanzania hatuhitaji demokrasia ya ukabila.
Maeneo ya Manzese uswahilini ni maghorofa yale?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Akili nini?Ndio sababu nikasema wewe huna akili, nani aliyesema mwenzake yupo na hasira?.
Mimi ninatoa maoni yangu Kama mtu huru, Sasa Kama wewe unahisi nipo na hasira, huo ni ujinga wako.
We fala kweli.Sibishani na wajingaManzese ni slum?
Uko Sawa kweli we dada ?
Nimekuuliza swali, umekula maharage ya wapi?We fala kweli.Sibishani na wajinga
Unataka kusema Manzese haina slums?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hajui maana ya slum huyo, mwache kama alivyo.Manzese ni slum?
Uko Sawa kweli we dada ?
Sasa wewe mwenye posts 9816 unawezaje kunifundisha mtu mwenye posts 24481?. Experience matters.Namna yako ya kuuliza maswali inaweza kukuonesha una kiwango cha ufahamu na uwezo wako wa kuchambua hoja kuwa finyu.
Hatuulizi vyovyote, tunauliza kutokana na mtiririko wa majadiliano,
Jifunze namna ya kujadili kisha uje ulingoni.
Learning from scratch is difficult sometimes!
Yes, Nina akili kukuzidi wewe tena kwa mbali Sana. Hivi utasemaje kwamba Kenya imeizidi Tanzania katika demokrasia wakati "Democracy perception Index" ya UN inasema Tanzania ipo juu ya Kenya?Akili nini?
Unaweza kunionesha wewe una akili?
Nikitoa maoni kwamba Kenya ime izidi Tanzania hutaki kuyasikia, Unataka usikosolewe, Kwamba kila mchangiaji akubaliane na mtazamo wako wa kuisifia Tanzania..
Una Akili kweli wewe?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Labda tukubaliane hivi kuna vitu Kenya ime tuzidi uchumi ukiwemo..Yes, Nina akili kukuzidi wewe tena kwa mbali Sana. Hivi utasemaje kwamba Kenya imeizidi Tanzania katika demokrasia wakati "Democracy perception Index" ya UN inasema Tanzania ipo juu ya Kenya?
Sasa wewe mwenye posts 9816 unawezaje kunifundisha mtu mwenye posts 24481?. Experience matters.