Wakenya, Waganda na Watanzania wanalala nje katika mitaa nchini Canada

Hao wote wanataka goverment support ili maisha yawe mepesi kwa kupewa housing allowance and un employment benefits baada ya kupata wanaingia knye ajira rasmi za kawaida yaani kupiga box, kama mjanja najiongeza muda mfupi baadae anaingia shule ana upgrade credentials anaingia knye professional jobs, au wengine ndo wanafungua biashara zao japo Watanzania sio sana, ila wakenya na waganda wengi sana wana biashara za maana na ni wakubwa kweli kweli
 
Stop using Xylazine, it makes you slow.

I was talking about the increase of homelessness in North America due to inflation being sent back home, as countries around the world start ditching the use of USD, as the world reserved currency.
.
 
Russia na mwarabu wamefikaje hapa, kumbe kulala nje ni utu.
 
Wanaoishi nje wote watwana tuu hawana jipya na lugha Yao at Diaspora , use_enge mtupum....mi pia Nina ndoto za kupotelea huko , Ila nitakuwa mtumwa tuu , japo Kwa sababu ya background yetu ya kimaskini basi huwa tunaona kama tumewin
Kwani ukija ukafanya kazi na kuwa na malengo ya kufungua biashara kuna ubaya gani?
Huenda ukasomea kitu ukafanikiwa na kuwa na kampuni yako

Kwa sasa kwa mfano UK wanahitaji laborer 45,000 kwa mwaka hao ni wajenzi tu
Sasa kama wewe ni electrician au carpenter au brick layers njoo baba kazi za kumwaga na unapanga unavyotaka wewe
 
 
You're all over the place like cheese on pizza.
 
Nimepita hapo Stadium Arusha muda si mrefu naona wadogo wanaolala nje wanajiandaa na boxi zao...hao wanalala nje leo baada ya mwaka na kupata karatasi sio hao tena maisha ya Nje yana Code nyingi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…