Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwenye health cares nakubaliana na weweMara nyingi nchi kama ufilipino, India serikali zao zinachangamkia sana hizi fursa.
Na pia kabla ya brexit walikuja sana eastern European countries kwa wingi sana na walioamua kuendelea kuishi huku wamebaki pia ila wengi waliondoka