Wakenya, Waganda na Watanzania wanalala nje katika mitaa nchini Canada

Hio ni kwa muda tu then watapewa hifadhi na some documents ...halaf hii video ina muda mrefu lakn ndo uhalisia kwa wanao ingia illegal
 
Mkuu mimi ni electrician nipe muongozo nitinge
 
Mkuu mimi ni electrician nipe muongozo nitinge
Mkuu ni siku za hivi karibuni ndio PM alikuwa analiongelea hili, najua Health worker wanaletwa toka nje kwa mikataba kupitia serikali zenye ubia na hapa
Ila kuhusu kazi zingine kama za electrician sijajua wanaombaje na mjadala bado ni mkubwa wawalete kutoka wapi

Kwa kweli inalipa sana mkuu ila njia zao ndio sijui kama utapasua kwa njia zako na una uwezo well and good
 
Kufika huko naweza hata pesa ya kuanzia ninayo mkuu kitu ambacho nataka ni vizuri ukawa hata na mwenyeji ambaye anaweza akakuelekeza machaka pia hata kumchangia makazi
 
unaweza kuwa unawang'aka english huku kumbe unatishia wajinga...aisee jombaa unaongea broken english hatari mno...
 
Jamani nimeishi canada, sasketchwan, asikuambie mtu, maisha ya nje yana uafadhali mno kulinganisha na maisha ya huku bongo, nilikua mwanafunzi tu....ukisikia wanaoponda diaspora hawa ni roho ya kunguni tu wenye wivu mno na wanataka sana kuruka ila hawana connection....
 
Mara nyingi nchi kama ufilipino, India serikali zao zinachangamkia sana hizi fursa.
 
Putin kama Mchina anataka Madikteta tu
 
Kwa akili za awabongo wakifika huko hawafanyi kazi serious Bali wao kuleta ujuaji tofaut na Mhindi au Mnigeria
Sawa,

lakini mkubwa hapo juu alikuwa anazungumzia mahusiano ya nchi na nchi, mfano kuna baadhi ya nchi ambazo zina policies za kusupply labor. Mfano ufilipino wana supply sana labour western hasa kwenye health na care kwa ujumla.

Now narudi kwetu, nchi kama nchi ipambanie jambo moja tunaloliweza tupeleke wafanyakazi nje, iwe wakulima, au wajenzi……. Etc.
 
Mtu pekee anaweza kuwaona wajinga ni yule ametokea familia ambayo wakubwa zake walikuwa na uwezo hivyo akapitia migongo yao kubwa na kipato note: sio wote

Hustler wengi wamepitia changamoto nyingi iwe makazi, chakula n.k ila kamwe hawezi kubeza juhudi za mwingine
 
Ipambane mara 2? ) Kasome Tena Ilani Comrade kila kitu kimeainishwa
 
Hawana Akili hivyo acheni Wateseke tu.
Ni kweli! Wewe huna kosa lolote nchini kwako hujatimuliwa nchi haina vita haina machafuko wala... Halafu unakimbia wendang'ang'ania kwa Wazungu si uchizi huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…