Sawa,
lakini mkubwa hapo juu alikuwa anazungumzia mahusiano ya nchi na nchi, mfano kuna baadhi ya nchi ambazo zina policies za kusupply labor. Mfano ufilipino wana supply sana labour western hasa kwenye health na care kwa ujumla.
Now narudi kwetu, nchi kama nchi ipambanie jambo moja tunaloliweza tupeleke wafanyakazi nje, iwe wakulima, au wajenzi……. Etc.